Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Wanetu mjue kesho asubuhi mnatakiwa kuwahi Lupaso kufanya usafi kwa sababu Jumapili tunataka kupigi Ndiki na Wauza ukwaju, japo na nyie mtausunda kidogo Uwanja mkicheza Fainali yenu ya LAWI CUP nane kamili mchana wa jua kali la Utosi 😂
Utofauti Ulianzia Hapa…
Mfadhili Wenu: Naomba Kumtambulisha Dada Yangu 😂
Mfadhili Wetu: Yanga Bingwa 😂💪🏿
Cc ephen_
Utofauti Ulianzia Hapa…
Mfadhili Wenu: Naomba Kumtambulisha Dada Yangu 😂
Mfadhili Wetu: Yanga Bingwa 😂💪🏿
Cc ephen_