Mtacheza tena na Coast kugombea ile ile nafasi yenu ya tatu

Ile clip Kamwe akiuliza je wamependeza hawajapendeza nafasi ya tatu mwenye nayo please atupie humu, na ile clip mh waziri akisakata wimbo wa Yanga Africa wa Pepe Kalle baada ya khamsa!!
 
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaa Lawi Cup ndani ya jua la utosi dadadeki.
 
Kwa katumizi ya neno NDIKI inaonekana ni mtu mzima sana aka mzee, lakini hovyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…