Habarini za leo wana MMU
Jana nikiwa nimepumzika baada ya siku ndefu nilipata simu toka kwa shogangu(ameolewa na mzungu) ambaye tunatofautiana masaa matatu toka anapokaa yeye na mie.Wao wakiwa mbele masaa matatu.Shogangu huyu alinipigia simu saa nne usiku ikiwa na maana kwao ilikuwa ni saaa saba usiku.Nikawa nashangaa kulikoni shost anipigie muda huo?Well, this is her story:
Alinieleza kwamba hajalala kabisa na njaa inamuuma ni kiama. kisa?Anasema mume wake ambaye ni mzungu huwa ana tabia ya kumsimangia chakula kila kukicha.Alianza kumwambia you have a good appetite.Kisha ikawa anamwambia kwamba "you eat like a pig'" mwanzoni alikuwa na tabia ya kumwambia "for a woman your size I'm surprised you eat this much" (shoga ana mwili kipotable)mwanzoni huyu shogangu hakulichukulia serious sana lakini pia akamwonya mzungu wake kwamba ni tabia mbaya kuangalia mtu anakula kiasi gani, lakini mzungu hakukoma akaongeza kwa kumwita "my little miss piggy" binti hakuchoka akamweleza tena kwamba kwa mila za kwao ni vibaya mno kumsema mtu kwa ajili ya chakula.Sasa kilichomuumiza huyu shagangu hadi anipigie simu usiku wa manane akiwa hajalala au kula ni kwamba wakati wa dinner alipojichotea chakula mzungu akamwuuliza(are you going to finish all that?)basi shost akasusa kula na akasusa kwenda chumbani kulala.sasa wana-MMU nini mawazo yenu kuhusu hili? je nimpe ushauri gani huyu shogangu?mana kwa kweli alikuwa ananieleza kwa majonzi sana.