mtafaruku kati ya mila na desturi.

mtafaruku kati ya mila na desturi.

natu

Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
25
Reaction score
6
Habarini za leo wana MMU
Jana nikiwa nimepumzika baada ya siku ndefu nilipata simu toka kwa shogangu(ameolewa na mzungu) ambaye tunatofautiana masaa matatu toka anapokaa yeye na mie.Wao wakiwa mbele masaa matatu.Shogangu huyu alinipigia simu saa nne usiku ikiwa na maana kwao ilikuwa ni saaa saba usiku.Nikawa nashangaa kulikoni shost anipigie muda huo?Well, this is her story:
Alinieleza kwamba hajalala kabisa na njaa inamuuma ni kiama. kisa?Anasema mume wake ambaye ni mzungu huwa ana tabia ya kumsimangia chakula kila kukicha.Alianza kumwambia you have a good appetite.Kisha ikawa anamwambia kwamba "you eat like a pig'" mwanzoni alikuwa na tabia ya kumwambia "for a woman your size I'm surprised you eat this much" (shoga ana mwili kipotable)mwanzoni huyu shogangu hakulichukulia serious sana lakini pia akamwonya mzungu wake kwamba ni tabia mbaya kuangalia mtu anakula kiasi gani, lakini mzungu hakukoma akaongeza kwa kumwita "my little miss piggy" binti hakuchoka akamweleza tena kwamba kwa mila za kwao ni vibaya mno kumsema mtu kwa ajili ya chakula.Sasa kilichomuumiza huyu shagangu hadi anipigie simu usiku wa manane akiwa hajalala au kula ni kwamba wakati wa dinner alipojichotea chakula mzungu akamwuuliza(are you going to finish all that?)basi shost akasusa kula na akasusa kwenda chumbani kulala.sasa wana-MMU nini mawazo yenu kuhusu hili? je nimpe ushauri gani huyu shogangu?mana kwa kweli alikuwa ananieleza kwa majonzi sana.
 
hiyo ni sawa na ubaguzi na nyege zake huyo shogayo zitamponza siaondokage tu kwani lazima kuishi na mzungu au ndio wale wa uv turn nini?
 
Haya mambo ya wazungu hayo. Kina dada wa ki_afrika kuolewa na mzungu ni bonge la deal. Hata kama huyo mzungu hamthamini.

Any way mimi napita tu. Mwambie shoga ako avumilie. Otherwise kama anaona kero zinazidi, na uvukmilivu umefika kikomo bora asepe.....
 
If he said once like you have good appetite then no harm caused lakini kama ndio kawaida yake, hiyo ni dharau amemwona huyo dada kuwa ni mlafi na hawa watu wanaishi kwa budget, so he must be more concerned with his money.

Chengine muulize rafiki yako kuhusu mambo ya table manners maana saa nyingi ikiwa unatia mlima wa chakula at one go lazima mtu akuone mlafi, unatakiwa utie small portion utaongeza when needed.
 
kacha zimegongana tu.

Aite wazazi wa mzungu wawakalishe kikao, sijui hata kama wao hufanya hivi.

Agome kama madaktari, na agome kula, kulala, ku-du, kuongea wiki nzima.

Aongee naye, si mzungu wataelewana tu, ila sema kama lugha nayo haipandi patakuwa pagumu.
 
Nae labda akipakua anapakua kama vile anahama. Si awe anakula kidogo kidogo mara nyingi?
 
kwao kafukuzwa?

Anyways akimuita little miss piggy na yeye amuite little mr monkey!
 
Kuna uwezekano kwamba yule mme wake anataka rafiki yako akonde, na yeye anafikiria ana nyimwa chakula.

Hapo huwezi kuamua kesi, binadamu siku zote kama unapenda kula mwenzako akasema punguza kula unaweza kusema anakuzuia kula, kumbe anakutakia ujitazame mwili wako.

Lakini kwa upande mwingine ukienda deep sana huyo mzungu ana makosa mana angemsemesha kwa njia ya usta arabu zaidi sio njia hio.
 
Ilopo afanye kumweleza kinaga ubaga ikishindikana aangalie ustarabu mwingine maana unaweza kuta hamtaki na anatafuta 7bu ya kumfukuza anaamua kuitumia hiyo ili ajifukuze
 
Kama vipi nae aanzishe kamtindo kapya kakuitikia hilo jina.Akiitwa miss pigy aitikie "yaa tell me Mr m.k.undu kunuka" nafikilia siku moja atajiuliza huwa unaniambia nin nikikuita? ROHO imeniuma hadi nimetukana samahan jaman na nyie wasichana msikariri kuwa kila mzungu ni deal wengine ndo kama hao wamechoka hawana nidhamu ya kuishi na wake.KUNYANYASIKA UGAIBUNI KUNAUMA NYIE HAMJUI TU.
 
Si alie jikoni anakopikia. Ndio tabu ya tamaa hiyo kwani wabongo wenzakke hatuna ''MISHEDEDE?"
ACHA ULIMBUKENI WAKE WA RANGI UMTAFUNE,
Hilo zungu linataka only kitobo utamu tu
 
hiyo ni sawa na ubaguzi na nyege zake huyo shogayo zitamponza siaondokage tu kwani lazima kuishi na mzungu au ndio wale wa uv turn nini?


Mkuu, nafikiri sio swala la nyege ila huyo ndiye mumewe wa ndoa
 
hii ni very interesting case.....
mfano wazungu ukisema 'umenenepa'
kwao ni tusi kubwa..sisi tunaambiana kama kitu kizuri...

hapa ishu ni culture zaidi.....lakini vile vile kuna 'utumwa ndani yake'
 
Hiyo itakuwa vita sasa, kumbuka mmoja lazima akubali kuwa chini ndo maisha yaende

kuwa chini kwa kutukanwa,kudharauriwa na kuathiriwa kisaikolojia? Au akiwa chini huyo mzungu ataacha kumtusi? Mtu anayempenda na kumthamini mkewe hawezi kumuita pig hata siku moja......
 
Back
Top Bottom