Mtag rafiki yako alikuwa anaandika "AKUMBUKWE"kwenye Kuta za Shule

Swensa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2,880
Reaction score
4,295

Kuna Mwanangu alikuwa anaitwa maro, alikuwa baada ya kuangusha divi chooni๐Ÿคฃ anachukua kijiti anaandika ukuta ndani ya choo na nje, machata unakuta mengi mengi ya Wana wa shule,

Ukiiingia toilet ๐Ÿšฝ mara mzigo huo uko pembeni ya shimo harafu mzito unasema huyu ni mtoto au mtu mzima noma sana๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Undo
 
Alikula bomu la machozi nini mbona anapitia shida hivyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hahaha yaani ndo maana malezi yanazidi kuwa duni sanaaaa kwa watoto wa sasa

Kwa sababu wazazi wanawaza pumba wanazowaza watoto na wengine akina LIKUD wanatembea na visichana vya 18 years na wao wana 40 yaani ni hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ