Mtag shabiki wa Simba na umtakie pole kwa kumaliza msimu bila taji lolote

Huwezi amini Mimi si shabiki wa 'Mnyama'...!! Siku ile nilikuwa nawa support sababu sikutaka wafungwe na waarabu, lakini kubwa zaidi nilikuwa nam support bae (baba Mwamposa)..!![emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu
Wewe, bae na mnyama wenu wote mnatakiwa mpewe pole
Usiku halali mnashabikia kasimba kama hako[emoji23][emoji23]
 
Huyu ndugu yako Carleen umesingizia, huyo ni utopolo mwenzio pure kabisa.

Hii pole najua ni ya kinafiki, bado najiuliza niipokee au niikataeπŸ˜‚.
Akhuuuu sie kama utopolo hatumtambui
Hana damu ya Yanga kabisa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ikate ikubali jua Simba hamna kazi ingine hapa mjini zaidi ya kuzurura tu kama wadudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…