Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

😂😂😂😂😂 sumu sinywi ht iweje..napambana had kieleweke...kuna ka ben ten hakanitaki nami nakataka kwa gharama yyt ile😂😂😂 nikapangishie rum kazi iwe 1..nishauri nifanyeje
Hapo umepotea njia. Mi nashauri wanaotaka kwenda mbinguni tu. Kama vipi njoo kwangu ufaidi pensheni ya kikotoo cha zamani
 
Back
Top Bottom