Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Sote tunaishi kitaa humo pia tuko na wenzetu ambao pia wanawakilisha vizuri pande hizi za jf.marafiki wa ukweli na Ni muda wa kuwapa ma shout out ya nguvu.me mwenyewe binafsi nawapa salute wafuatao na uzuri wote wapo JF japo kwa ID tofauti na majina Yao ninayoyajua
1.ticha, stopper,chabamba, Hussein white wote Ni wanangu kutokea Riverside ubungo bila nyie sijui ningekuwa Nani kwenye hili jiji.
2.magufuli,chikoyo,mfweje,mwanamfyale,bibii wote wanangu kutokea makoka na wote Hawa tupo nao jf
3.mbonde,makala..wahuni flani kutokea kimara salute kwenu najua post hii mtaipitia
4.kichwa,dust,mafactor wanangu wa k koo.maujanja supplier unit
5.harid kutokea barakuda
6.mshua kutokea pande za Micasa unajijua
7.mapacha wa tabata kimanga nawakubali hamkwami
8.mwanangu mwenyewe blood sad kutokea kiwalani humu jf unakimbiza Sana
Ujumbe:mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo

' Eagle Wing House Agent ' Kazini. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
We tk kweli, nikija hapo jamaa yako si anajifanyaga yuko serious sjuw anafkir mi naww tna mahusiano gani, ushamba tu!
Kwa hiyo akiwa serious ndiyo unaogopa? Zombi kweli wewe, ukaanza kuwa mwoga lini? [emoji23][emoji23][emoji23]tatizo umemzidi uhendisome ndiyo maana ana hofu.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Anhaa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umesema?
Mwanamke hachepuki, huwa tunatoa huduma tuu.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Astaghafurulilah...

Sasa hebu fanya mpango niwe tajiri... kuna mzinzi moja naona avatar yako inamzengua... kanambia nikifanikiwa kumpa namba zako za simu atanilipa mabasi matatu kama Dar Lux.
 
Kwa hiyo akiwa serious ndiyo unaogopa? Zombi kweli wewe, ukaanza kuwa mwoga lini? [emoji23][emoji23][emoji23]tatizo umemzidi uhendisome ndiyo maana ana hofu.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Yerewi, nimeanza lini kuwa handsome? Ujue sijamaliza kazi ya watu kama ndiyo unanishawishi na ile safari potezea tu kwanza, nisje nikatafuna pesa zote halaf ukawa mtihani!
 
Astaghafurulilah...

Sasa hebu fanya mpango niwe tajiri... kuna mzinzi moja naona avatar yako inamzengua... kanambia nikifanikiwa kumpa namba zako za simu atanilipa mabasi matatu kama Dar Lux.
Mzee wa mipango[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama wewe utapewa hayo magari matatu kwa kumpa namba tuu, Mimi nikimwita bebi si nitahongwa dunia. Kwa heri umaskini.
Sasa namba yangu ngoja nikutumie pm.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Yerewi, nimeanza lini kuwa handsome? Ujue sijamaliza kazi ya watu kama ndiyo unanishawishi na ile safari potezea tu kwanza, nisje nikatafuna pesa zote halaf ukawa mtihani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nipotezee safari tena. Kwanza ngoja nikupigie simu tumalizie hiyo kazi ya watu pamoja. Pesa kutafuna muhimu[emoji23][emoji23].
Wewe ni hendisam toka kitambo yaani. Tena Bonge la HB.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Back
Top Bottom