Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Fanya mafekeche uje hapa kona ya sinoniHe heeee chaliiii, kweli tupo mtaa mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya mafekeche uje hapa kona ya sinoniHe heeee chaliiii, kweli tupo mtaa mmoja
Ha haaa hlf sijawahi fika huko, mi nipo mitaa ya kwa mrefu baba LaiFanya mafekeche uje hapa kona ya sinoni
[emoji23][emoji23][emoji23]Bado Sina
I wish nipate Marafiki wengi hapa kaka na dada wanaojitambua
Hasa kaka b'se natamani Sana kuwa na kaka jmn
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sumu sinywi ht iweje..napambana had kieleweke...kuna ka ben ten hakanitaki nami nakataka kwa gharama yyt ile[emoji23][emoji23][emoji23] nikapangishie rum kazi iwe 1..nishauri nifanyeje
Hamna noma dada la dada, kama vipi siku mokomoko tutoke mtokoHa haaa hlf sijawahi fika huko, mi nipo mitaa ya kwa mrefu baba Lai
I wish, ila ni ngumuuuu, watu wamekabaHamna noma dada la dada, kama vipi siku mokomoko tutoke mtoko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1479][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji107][emoji107]
[emoji53]I wish, ila ni ngumuuuu, watu wamekaba
Unataka nifungwe eeehhhNaomba niletee ndoo moja nikupe laki 3
Hebu njoo uyapige mswaki tuoneHahahhaah meno bado yapo?
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
WeeeeeeHuwezi kula ndumu weye
Usifikirie matatizo uwapo kazini [emoji23][emoji23]Unataka nifungwe eeehhh
Hapana mkuu..Usifikirie matatizo uwapo kazini [emoji23][emoji23]
Kwani hutaki pesa wewe?
Harakaharaka hivi si nitakuja nilie kama nimefiwa?Hapana mkuu..
Nitumie hiyo hela nikutumie
Niaje tena?[emoji53]
Unaaga unaenda Church siku ya j2 alafu tunaingia chimbo za maanaNiaje tena?
Yaani kweli unanifundisha tabia mbaya? Hiyo mbona sababu ya kitoto sana🤣🤣🤣, church ni hatua 10 kutoka homeUnaaga unaenda Church siku ya j2 alafu tunaingia chimbo za maana
[emoji23][emoji23]Yaani kweli unanifundisha tabia mbaya? Hiyo mbona sababu ya kitoto sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787], church ni hatua 10 kutoka home
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] achana na huo mpango[emoji23][emoji23]
Nipe mbinu bas