Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
hahahahah insta babe nipo sehemu salama kabisaHahhaha hapa na wasiwasi wewe insta babe upo sehemu sio salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahah insta babe nipo sehemu salama kabisaHahhaha hapa na wasiwasi wewe insta babe upo sehemu sio salama
Hahahah hakuna bwana
nipo ndani na ninajiandaa kulala hapa maana kesho nna ratiba asubuhi sana .... na hii sehemu ni salama 95% ukijulimlisha na zile namba za kina cutey nilizodelete basi usalama unaongezeka maradufu [emoji23]Hahahah hakuna bwana
Hahahah hivi no za cutey zilifutika kwelinipo ndani na ninajiandaa kulala hapa maana kesho nna ratiba asubuhi sana .... na hii sehemu ni salama 95% ukijulimlisha na zile namba za kina cutey nilizodelete basi usalama unaongezeka maradufu [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
zilifutika kweli.... kwanzia kwenye simu hadi gmail [emoji23]Hahahah hivi no za cutey zilifutika kweli
Nime Ku inbox ila umefunga PM, si vyema kuongelea mambo ya faragha mbele ya kadamnasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakunitongoza. Kaniambia atanitongoza ukishamaliza ukaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mbona sina taarifa nayo jamani? Au ndio umejichagulia zawadi hiyo?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app