Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Aiseeeeeeeehh!! inafikirisha sana
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc Smart911
Hilo ni kweli kabisa aisee. Kuna mrembo mmoja humu tulikuja kujuana sasa ile process ya kuja kujuana humu mpaka kesho nikikumbuka huwa bado natabasamu kwa jinsi alivyo muoga na kabla hatujafahamiana alidhani nimetumwa na mume wake kumfuatilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila ni bomba sana, muungwana na mstaarabu sana pia yuko vizuri sana na tuliwahi kuwa majirani na mimi nilikuwa nawafahamu kwao wote na tulisoma shule moja ya msingi na yeye ndiye muasisi wa kuitana “jirani” hapa jamvini.
Sent using Jamii Forums mobile app