Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Huwa naziotea tu mkuuwewe unaomnekana uko tofauti kabisa na avatar yako wewe wala siyo ZERO IQ una IQ kubwa kabisa ngoja nitakufuata pm maana kuna mada zingine unachangiaga ki high iq ila zingine du ni papuchi vihepe halafu unasema hujasoma
CC Zero IQ