Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji57]Wote nawajua maisha yao kiundani
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji57]Wote nawajua maisha yao kiundani
Ule mpunga mtamu balaa[emoji85][emoji85][emoji85]... Asante [emoji120][emoji120][emoji120]Mie niliokutana nao wanatosha...sina haja zaidi kwakweli
Ule mpunga mtamu balaa[emoji85][emoji85][emoji85]... Asante [emoji120][emoji120][emoji120]
Jr[emoji769]
Nami naomba kukufahamu MalcolmCocochanel naomba kukujua kwa undani zaidi.
Shunii naomba nikujue ehNiliowajua na wanaonijua inatosha sana sihitaji kuwajua wengine zaidi
Gate la kujuana nimeshalifunga mama angu
Ooh ahsante sana, basi mimi ntakutafuta.
Aisee anko anarudi Dar wiki hii na hakutafuti kabisa. Siyo kwa kauli hizi😡😤😬😡😠Niliowajua na wanaonijua inatosha sana sihitaji kuwajua wengine zaidi
Hahahah anko bwanaAisee anko anarudi Dar wiki hii na hakutafuti kabisa. Siyo kwa kauli hizi[emoji35][emoji36][emoji51][emoji35][emoji34]
Mkuu hapa umemaliza ukweli hadi ule wa akiba..Ninyi madogo mna mambo mengi bwana, yani kakitu kadogo tu tayari mshafungua uzi kuponda. Wataacha kuwaogopa kweli ??
Nini mbibi...
Hahahahh chezea JF ww, kila mtu ana maisha mazuri, gari zuri, nyumba nzuri, ana PHD hahaha nkHumu kuna watu wapo juu...kuna vitu mtu aliniambia pm yani mpk kesho huwa nacheka mwnyw [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahh chezea JF ww, kila mtu ana maisha mazuri, gari zuri, nyumba nzuri, ana PHD hahaha nk