Hilo ni kweli kabisa aisee. Kuna mrembo mmoja humu tulikuja kujuana sasa ile process ya kuja kujuana humu mpaka kesho nikikumbuka huwa bado natabasamu kwa jinsi alivyo muoga na kabla hatujafahamiana alidhani nimetumwa na mume wake kumfuatilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila ni bomba sana, muungwana na mstaarabu sana pia yuko vizuri sana na tuliwahi kuwa majirani na mimi nilikuwa nawafahamu kwao wote na tulisoma shule moja ya msingi na yeye ndiye muasisi wa kuitana “jirani” hapa jamvini.
Unakuna nazi au[emoji3]Ngoja nikakalie kigoda vizuri nirudi kusoma
Sawa mkuuSakayo mi nakufahamu vizuri mpaka kule Tanga. Ila sijawahi kukueleza lolote.
Keep it in your mind
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikujue tena basi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Uyo Mama nimemwacha ICU kuna mgonjwa anamshughulikia......
Mr Miller pita hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina shida,nitamsubiri iwe mvua liwe jua.
Una shida gan una uyo Mama....??
Kuna mtu kawekeza hapo.....!!!!
Ah ah ah ah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unateseka mkuu?
What u're trying to do now, it's too little too late!
Teh! teh!
Babe upo?[emoji126][emoji126][emoji126]
Babe upo?
Am good,Nipo. Wewe je?
Upitie nyumbani baadae tuambizane basi.Am good,
Nakomaa na box tu.
Shikamoo Mkuu:; unatafutwaSawa mkuu
Karibu nyumbani
Marahaba MkuuShikamoo Mkuu:; unatafutwa
Kidogo nikuchukulie rb ya upotevu kwenye jiji lenu hilo;;; imebidi nirudi kijijini na gunia langu nililolo kuwa nimekuletea kiunyonge sana.Marahaba Mkuu
Halafu unaniita mkuu unataka kuninyima nini eti....
Niko hapa, nani iko tafuta mimi