princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Jamani jamaniiKidogo nikuchukulie rb ya upotevu kwenye jiji lenu hilo;;; imebidi nirudi kijijini na gunia langu nililolo kuwa nimekuletea kiunyonge sana.
hii ilikuwa surprise package tu, nilifika mpaka nyumbani kwako ilo komeo ulilo zungusha ili tusikufie wageni mungu pekee ndo analijua.Jamani jamanii
Si ulisema unaniletea ling'ombe wewe?!
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahahahii ilikuwa surprise package tu, nilifika mpaka nyumbani kwako ilo komeo ulilo zungusha ili tusikufie wageni mungu pekee ndo analijua.
haha we muoga sana; nifungulie then ufunge siku nyingine nikija nisipate usumbufu nilio upata,Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Yaani mecheka sana jamanii, mbona hukuniita nilikuwa tuu kwa jirani yangu bana!!
Pole sana jamanii
Hahaha hahahahaha we muoga sana; nifungulie then ufunge siku nyingine nikija nisipate usumbufu nilio upata,
umefanya mpaka ni mserch huyo da jane;Hahaha hahaha
Naogopa mambo ya Dajane mimii...
Ila wewe mbona unataka kuniuwa na presha!!
Haina shida,i obey whatever u request or whatever choice u make.Upitie nyumbani baadae tuambizane basi.
Hahaha hahahaumefanya mpaka ni mserch huyo da jane;
Sitakuwa mkorofi ukinifungulia kweli tena naapia.
Sikufanikiwa, kuna mahala huwa naenda kwenye mihangaiko network sometym inakuwa ya shida Mkuu. ila nimejaribu pitia mwingine unaomuulizia yu wapi da Jane nimepata some hints? ling'ombe siku yako birdey ikifika tu, hahaha afu wewe unafikiri masihara MKUU.Hahaha hahaha
Hukuona uzi wake juzi ama?!
Wewe kwani una lile ling'ombe kwani??
Hahaha hahaha hahahaSikufanikiwa, kuna mahala huwa naenda kwenye mihangaiko network sometym inakuwa ya shida Mkuu. ila nimejaribu pitia mwingine unaomuulizia yu wapi da Jane nimepata some hints? ling'ombe siku yako birdey ikifika tu, hahaha afu wewe unafikiri masihara MKUU.
hahaha aya mtanga wangu,appreciate.Hahaha hahaha hahaha
Sawa mkuu
Karibu tena jamanihahaha aya mtanga wangu,appreciate.
Mwagika mdada:
Kazi yako
Sina kazi mpendwa bora uhai
Umri wako
Old enough
Wilaya na mtaa unaoishi
Forest
Dini yako
Mkristo
Una familia ya Aina gani
Single parent baba alifariki muda kidogo
Partner wako (hope ni single [emoji4])
[emoji23]im doubled lmfao
Mali zako
Sina mali
Gari unayotembelea
Tax 11 na daladala
Elimu yako
Form four[emoji23]
Picha yako
Niko na sura personal jua hivyo tu
Kama sensitive ninong'oneze pm [emoji1]
silent_ocean