Mtaje member mmoja unayetamani kujua maisha yake kiundani

Mtaje member mmoja unayetamani kujua maisha yake kiundani

hii ilikuwa surprise package tu, nilifika mpaka nyumbani kwako ilo komeo ulilo zungusha ili tusikufie wageni mungu pekee ndo analijua.
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Yaani mecheka sana jamanii, mbona hukuniita nilikuwa tuu kwa jirani yangu bana!!
Pole sana jamanii
 
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Yaani mecheka sana jamanii, mbona hukuniita nilikuwa tuu kwa jirani yangu bana!!
Pole sana jamanii
haha we muoga sana; nifungulie then ufunge siku nyingine nikija nisipate usumbufu nilio upata,
 
Hahaha hahaha
Hukuona uzi wake juzi ama?!
Wewe kwani una lile ling'ombe kwani??
Sikufanikiwa, kuna mahala huwa naenda kwenye mihangaiko network sometym inakuwa ya shida Mkuu. ila nimejaribu pitia mwingine unaomuulizia yu wapi da Jane nimepata some hints? ling'ombe siku yako birdey ikifika tu, hahaha afu wewe unafikiri masihara MKUU.
 
Hahaha hahaha hahaha
Sawa mkuu
 
Mwagika mdada:

Kazi yako
Sina kazi mpendwa bora uhai

Umri wako
Old enough

Wilaya na mtaa unaoishi
Forest

Dini yako
Mkristo

Una familia ya Aina gani
Single parent baba alifariki muda kidogo

Partner wako (hope ni single [emoji4])
[emoji23]im doubled lmfao

Mali zako
Sina mali

Gari unayotembelea
Tax 11 na daladala

Elimu yako
Form four[emoji23]

Picha yako
Niko na sura personal jua hivyo tu

Kama sensitive ninong'oneze pm [emoji1]

silent_ocean

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom