Mtaje member mmoja unayetamani kujua maisha yake kiundani

lifecoded
Ningependa kumjua huyu jamaa hasa elimu yake na kazi aifanyayo,
Sihitaji kujua mali zake au gari anayotembelea kama alivyotaka mleta mada,huyu jamaa ni KICHWA,nimejifunza mambo mengi sana kupitia kwake,sina maana sijifunzi kupitia kwa wengine bali huyu jamaa ni noma,

Big up brother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…