Mtaje member mmoja unayetamani kujua maisha yake kiundani

Mtaje member mmoja unayetamani kujua maisha yake kiundani

Hilo ni kweli kabisa aisee. Kuna mrembo mmoja humu tulikuja kujuana sasa ile process ya kuja kujuana humu mpaka kesho nikikumbuka huwa bado natabasamu kwa jinsi alivyo muoga na kabla hatujafahamiana alidhani nimetumwa na mume wake kumfuatilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila ni bomba sana, muungwana na mstaarabu sana pia yuko vizuri sana na tuliwahi kuwa majirani na mimi nilikuwa nawafahamu kwao wote na tulisoma shule moja ya msingi na yeye ndiye muasisi wa kuitana “jirani” hapa jamvini.

Kuna baadhi ya member humu nafahamiana nao vzr hata bia tumeshakunywa pamoja mara nyingi.


Wadada wengi ni waoga humu namm nimeshaelewa kwann [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom