Mtaje mshikaji wako ambae akipata Mil 1, una uhakika wa kupata laki moja,au hata Afutatu tu

Mtaje mshikaji wako ambae akipata Mil 1, una uhakika wa kupata laki moja,au hata Afutatu tu

Salute kwa mama watoto akipata kikoba kwanza lazima mzigo robo au nusu awasilishe kwangu...

Nilichogundua hapa duniani mapenzi ya kweli yanapatikana kwa familia zetu mke, watoto na wazazi..
Safi sana
 
Back
Top Bottom