Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha mkuu unapenda tabia za quinton canosa?hii ID yako imenikumbusha movie flani hivi..
ni nature yetu chief, ila ni kujiheshimu na kujitambua tu ndio kunatutofautisha.Ha ha ha ha mkuu unapenda tabia za quinton canosa?
@faizafox na ndege JOHN Faiza kwenye udini na Ndege John kwenye kutetea madudu ya hii serikaliKuna watu wanakera Sana humu ndani.kwa michango Yao tu unaweza ukatamani asingekuwepogi.niwe mkweli tu kuna jamaa anaitwa kanungila Karim huyu jamaa sijui Kwanini damu yake na yangu hazijaendana.ashaniharibia mood yangu mara kibao.siku nikikutana naye live live kitaani nitamchezeshea vitofa mixer vitasa Kama vyote.kwa upande wa ma she Kuna huyu anaitwa miss natafuta simfagilii Wala Nini namchukia na sijui kwanini na m term Kama adui.mwingine ni huyu anajiita viatu vya samaki,wa mwisho kabisa Ni GENTAMICYNE na mwenyewe naonaga miyeyusho tu
Ni mtazamo tu washikaji msijenge chuki.na wewe mtaje mmoja tu au wawili ambao una beef nao.
Uhasama uishe maana ananiboa sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], hivi haiba maana yake nini? Mi nilikuwa najua haiba maana yake aibu. Sa nikiliweka hapa halileti maana...Mimi huwa simpendi huyu anayeitwa @gentamycin jamaa anapenda kujitia anajua kila kituuu,na mimi na watu wa haiba hii huwa hatuivani,pia lijamaa lina akaunt mbili huwa linatabia ya kutumia akaunti mbali na yenye jina la gentamycn kuisifia akaunti ya gentamycn.mfano kuna siku akatumia ile akaunt nyingine akaanza kuandika eti anamhisi gentamycn ni geneous kutokana na post zake akaenda mbali eti anamhisi ni usalama wa taifa.yaan linatest akili za watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha jamaa nampenda sana hanaga maigizo yeyeni nature yetu chief, ila ni kujiheshimu na kujitambua tu ndio kunatutofautisha.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], hivi haiba maana yake nini? Mi nilikuwa najua haiba maana yake aibu. Sa nikiliweka hapa halileti maana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinga laoKuna watu wanakera Sana humu ndani.kwa michango Yao tu unaweza ukatamani asingekuwepogi.niwe mkweli tu kuna jamaa anaitwa kanungila Karim huyu jamaa sijui Kwanini damu yake na yangu hazijaendana.ashaniharibia mood yangu mara kibao.siku nikikutana naye live live kitaani nitamchezeshea vitofa mixer vitasa Kama vyote.kwa upande wa ma she Kuna huyu anaitwa miss natafuta simfagilii Wala Nini namchukia na sijui kwanini na m term Kama adui.mwingine ni huyu anajiita viatu vya samaki,wa mwisho kabisa Ni GENTAMICYNE na mwenyewe naonaga miyeyusho tu
Ni mtazamo tu washikaji msijenge chuki.na wewe mtaje mmoja tu au wawili ambao una beef nao.