Mtaje mtu unayemchukia humu ndani JF

Mtaje mtu unayemchukia humu ndani JF

Kuna mdada yupo humu ananichukia sijui kama bado yupo na chuki.

Ila kwa Id yake maarufu naona anasema hawachukii watu???

Kwa taarifa zako nakutongoza kwa Id nyingine na upo kibla.
Hii ni psychologically torture kwa huyo bidada kwa kweli


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kuna jamaa mmoja maarufu sana humu SIMCHUKII NINAMSHANGAA SANA KWA NYUZI zake Ila nahisi atakuwa MCHAWI SANA na anautumia huo uchawi + uongo wake kupata kipato

anajiita MSHANA MSHANA
 
Ase mweka mada nikirogwa hakikisha unajiuwa kabla sijakufikia maana haya mambo si mchezo hapa ni sawa na kuvunja kibubu kisichonahela!
 
Back
Top Bottom