Mtaje role model wako hapa jf

Mimi role model wangu................... tena siku hizi najitahidi kumuiga nishaanza kubadili tabia
 
Oooohhh it's fake id's.. I cant be inspired by someone's fake side of his/her life
Kheee... vipi kama post zake hazibadilishwi lakini akaamua kuweka jina lake halisi, utabadili maamuzi? To me, content ya post za mtu ndo hufanya nione nani ni role model wangu, na si jina lake......

By the way, my role model ni PASKALI
 
Kheee... vipi kama post zake hazibadilishwi lakini akaamua kuweka jina lake halisi, utabadili maamuzi? To me, content ya post za mtu ndo hufanya nione nani ni role model wangu, na si jina lake......

By the way, my role model ni PASKALI
Tatizo wewe umechanganya mambo mawili kwa wakati mmoja.. unaweza kuvutiwa na mtu fulani lakini hiyo sio sababu akawa role model[emoji41][emoji41] unajua ukiongelea role model ..... Umefika mbali zaid
 
Siwezi kuwa na role model humu hatujuani tuko nyuma ya kibodi
Kuna mtu unamjua, au ndugu yako, au rafiki yako.. etc na siyo role model wako... kuwa nyuma ya keyboard siyo sababu.... U-role model hautokani na kumjua au kutokumjua mtu..!!! ni matendo na mambo aliyonayo mtu
 
Ahahahaha... huwezi kuwa role model wa wewe mwenyewe.... TO ME, HUO NI UBINAFSI
Yaani hi hivi.. Sijapata Roli modo Jf humu mpaka niseme "Yeah I aspire to be like that au nijitahidi nimfikie yule.."
Hii ni kwa ajili wengi wanapretend humu ! na sina muda wa kukaaa na kumfuatlia mtu mmoja tu mpaka niseme " Wow that is an example to follow"...
Kwa kusema hivyo basi, Nikipata Roli Modeli hapo baadae nitamtaja in the mean time..
Hao watatu niliowataja hapo juu ndio nawaaminia.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…