Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
Naanza na mimi kioo na faizafoxy,bujibuji..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kheee... vipi kama post zake hazibadilishwi lakini akaamua kuweka jina lake halisi, utabadili maamuzi? To me, content ya post za mtu ndo hufanya nione nani ni role model wangu, na si jina lake......Oooohhh it's fake id's.. I cant be inspired by someone's fake side of his/her life
Ahahahaha... huwezi kuwa role model wa wewe mwenyewe.... TO ME, HUO NI UBINAFSIMe, Myself and I
Tatizo wewe umechanganya mambo mawili kwa wakati mmoja.. unaweza kuvutiwa na mtu fulani lakini hiyo sio sababu akawa role model[emoji41][emoji41] unajua ukiongelea role model ..... Umefika mbali zaidKheee... vipi kama post zake hazibadilishwi lakini akaamua kuweka jina lake halisi, utabadili maamuzi? To me, content ya post za mtu ndo hufanya nione nani ni role model wangu, na si jina lake......
By the way, my role model ni PASKALI
Na ushamba piaAhahahaha... huwezi kuwa role model wa wewe mwenyewe.... TO ME, HUO NI UBINAFSI
Kuna mtu unamjua, au ndugu yako, au rafiki yako.. etc na siyo role model wako... kuwa nyuma ya keyboard siyo sababu.... U-role model hautokani na kumjua au kutokumjua mtu..!!! ni matendo na mambo aliyonayo mtuSiwezi kuwa na role model humu hatujuani tuko nyuma ya kibodi
Yaani hi hivi.. Sijapata Roli modo Jf humu mpaka niseme "Yeah I aspire to be like that au nijitahidi nimfikie yule.."Ahahahaha... huwezi kuwa role model wa wewe mwenyewe.... TO ME, HUO NI UBINAFSI