Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ahahahahaahahaha basi hujaelewa nini kinahitajika kwenye hii threadYaani hi hivi.. Sijapata Roli modo Jf humu mpaka niseme "Yeah I aspire to be like that au nijitahidi nimfikie yule.."
Hii ni kwa ajili wengi wanapretend humu ! na sina muda wa kukaaa na kumfuatlia mtu mmoja tu mpaka niseme " Wow that is an example to follow"...
Kwa kusema hivyo basi, Nikipata Roli Modeli hapo baadae nitamtaja in the mean time..
Hao watatu niliowataja hapo juu ndio nawaaminia.........
Nimeelewa sana.. soma Kichwa cha habari.Ahahahahaahahaha basi hujaelewa nini kinahitajika kwenye hii thread
HayaNimeelewa sana.. soma Kichwa cha habari.
Kinondoni sweetheart ndo model ako hahahahgILeSi
Kinondoni sweetheart
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gILeSi
Kinondoni sweetheart
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kinondoni sweetheart ndo model ako hahahah
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi jamaa alifanyaga nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alitumbuliwa na ModsHivi jamaa alifanyaga nn
Sikuwa online kipind kile
ID iliunganishwa na nyingine, mfano wewe tuziunge ID zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kisa na mkasa
Yaan walimchana live au