Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ahahahahaahahaha basi hujaelewa nini kinahitajika kwenye hii threadYaani hi hivi.. Sijapata Roli modo Jf humu mpaka niseme "Yeah I aspire to be like that au nijitahidi nimfikie yule.."
Hii ni kwa ajili wengi wanapretend humu ! na sina muda wa kukaaa na kumfuatlia mtu mmoja tu mpaka niseme " Wow that is an example to follow"...
Kwa kusema hivyo basi, Nikipata Roli Modeli hapo baadae nitamtaja in the mean time..
Hao watatu niliowataja hapo juu ndio nawaaminia.........