Mtaje untouchable member

Mtaje untouchable member

Nani humu ndani hagusiki na anaogopeka kila akitoa comment yake ni ya nguvu haina mjadala.au tuseme kauli yake moja tu inatosha haihitaji ubishi
Kwangu me Ni The boss huyu humzoei zoei kinyanga.
Kwa upande wangu mm, untouchable member wa JF asiyegusika wala kubishiwa ni yule ambaye ataishi milele hapa duniani na wala nafsi yake haitaonja umauti.
 
Back
Top Bottom