MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Aiseee ndugu yangu Kiranga UISHI MILELE wewe jamaa.
Duh, uko vizuri my another untouchable member😀ndo nilivyo haswaaa yaani dizaini flani mtu mzushi tu kama nipo kama sipo, fix nyingi kimtindo.
Kwa upande wangu mm, untouchable member wa JF asiyegusika wala kubishiwa ni yule ambaye ataishi milele hapa duniani na wala nafsi yake haitaonja umauti.Nani humu ndani hagusiki na anaogopeka kila akitoa comment yake ni ya nguvu haina mjadala.au tuseme kauli yake moja tu inatosha haihitaji ubishi
Kwangu me Ni The boss huyu humzoei zoei kinyanga.