Mtaji milioni 25 - 30

Rudisha hizo fedha bank uliyokopa zote kabla hazijaisha,yaan rejesho ni milion tatu na huna biashara inayojiendesha?
Milioni 3 kwa mwezi ni hela ndefu sana kwa mtu anayeanza biashara hawezi kuilipa hii kila mwezi labda kwa mtu ambaye ni mkongwe kwenye biashara na ana wateja tayari.
Ingekuwa marejesho laki 5 kwa mwezi hapo sawa angejaribu.
Halafu nikicheki business ideas zote alizopewa humu ni zenye risks kubwa akijichanganya tu benki watamfilisi.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Kusini Sasa hivi wameanza kuvuna ufuta nnenda uwe unanunua ufuta Kwa njia inaitwa chomachima unapeleka garani. Baada ya msimu kuisha utakuwa umezalisha almost kama hiyo na zaidi. Nicheki nikupe connection maana ukienda kichwa kichwa unapigwa pesa na kurogwa juu
 
Unamaanisha kwenye biashara ya ufuta pesa ya mtaji ulioweka baada ya mauzo unapata faida mara 2 ya mtaji?Tupe na changamoto zake zipi

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,Naelewa hali uliyo nayo.Kwanza kupata Loan ya 35 Milion ina maana una cashflow nzuri na pia una dhamana nzuri.Kwa vigezo hivyo wewe unaweza kufanya Biashara lakini PIA ninahisi utakuwa kwenye Ajira which means kufikiria aina nyingine ya Biashara tena inayoweza Generate kama uliyoiweza iko Very Trick.Ilaa naamini mawazo yapo Mengi.

Mimi nitakuja PM nikupe contacts zangu then Tuangalie namna ambavyo tunaweza kushauriana.Ila kwa kuangalia haraka haraka naona inabidi uangalie Fursa ya Biashara ambayo tayari inajiendesha ambayo unaweza ingia na kuanza kutengeneza Revenue Mapema.Biashara utayowekeza Wekeza Not More than 20M
 
Asante kwa ushauri, kwa ujumla mi ni self employed person - consultant. Natafuta side hustle
 
To yeye kuna pesa huku😂
 
Kama kusudio la kuomba mkopo halipo tena bora utafute namna ya kurudisha tu hizo pesa uongezee na riba yao mambo yasiwe mengi
Bora nusu shari kuliko shari kamili
Naungana na wewe Aisee, bora hiyo riba yao aingie hasara kuilipa kwani lengo kuu la kukopa huo mkopo limeyeyuka, akifanya kitu kingine ni dhahiri anaweza kukutana na matokeo asiyo ya tarajia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…