- Thread starter
- #21
Unamaanisha forex?Kaka toa 1000$ tu ni kam 2.4mil uje tutrade hutojutia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha forex?Kaka toa 1000$ tu ni kam 2.4mil uje tutrade hutojutia..
Hii inabidi uwe kauzu sana na mtata na inabidi uingie na gym uwe kidari utapata pesaAnzisha microfinance uwe unatoa mikopo umiza
Hahahaha awa wa wazee wa forex wao hawanaga mitaji ila wanakwmbia pesa uhakika.Unamaanisha forex?
Nimeshawahi kufanya lkn kuliwa ni njenjeHahahaha awa wa wazee wa forex wao hawanaga mitaji ila wanakwmbia pesa uhakika.
Kumbe na ww mdau basi weka dola buku hzo mzee upige pesa za kudownload.....Nimeshawahi kufanya lkn kuliwa ni njenje
Arusha mkuuKumbe na ww mdau basi weka dola buku hzo mzee upige pesa za kudownload.....
Upo mkoa gani mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]awe na kidariHii inabidi uwe kauzu sana na mtata na inabidi uingie na gym uwe kidari utapata pesa
Pia mkopo kuanzisha biashara ni gambling mzeebb.
Milioni 3 kwa mwezi ni hela ndefu sana kwa mtu anayeanza biashara hawezi kuilipa hii kila mwezi labda kwa mtu ambaye ni mkongwe kwenye biashara na ana wateja tayari.Rudisha hizo fedha bank uliyokopa zote kabla hazijaisha,yaan rejesho ni milion tatu na huna biashara inayojiendesha?
Ukiwa mbavu mdeni wako anakuwa na nidhamu ya kulipa pesa hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]awe na kidari
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Ungekuwa dar ingekuwa magoli sana au hata huko Arusha nichek DM nikupe mchoro then uone kama utafaaa.Arusha mkuu
Unamaanisha kwenye biashara ya ufuta pesa ya mtaji ulioweka baada ya mauzo unapata faida mara 2 ya mtaji?Tupe na changamoto zake zipiKusini Sasa hivi wameanza kuvuna ufuta nnenda uwe unanunua ufuta Kwa njia inaitwa chomachima unapeleka garani. Baada ya msimu kuisha utakuwa umezalisha almost kama hiyo na zaidi. Nicheki nikupe connection maana ukienda kichwa kichwa unapigwa pesa na kurogwa juu
Asante kwa ushauri, kwa ujumla mi ni self employed person - consultant. Natafuta side hustleMkuu,Naelewa hali uliyo nayo.Kwanza kupata Loan ya 35 Milion ina maana una cashflow nzuri na pia una dhamana nzuri.Kwa vigezo hivyo wewe unaweza kufanya Biashara lakini PIA ninahisi utakuwa kwenye Ajira which means kufikiria aina nyingine ya Biashara tena inayoweza Generate kama uliyoiweza iko Very Trick.Ilaa naamini mawazo yapo Mengi.
Mimi nitakuja PM nikupe contacts zangu then Tuangalie namna ambavyo tunaweza kushauriana.Ila kwa kuangalia haraka haraka naona inabidi uangalie Fursa ya Biashara ambayo tayari inajiendesha ambayo unaweza ingia na kuanza kutengeneza Revenue Mapema.Biashara utayowekeza Wekeza Not More than 20M
To yeye kuna pesa huku😂Wakuu za jumapili, naomba msaada kwenye tuta. Kuna biashara nilipanga kuifanya ya kuchimba one of industrial minerals. Nilitegemea kupata order kiwanda cha mchina Tanga, baada ya kuwa nimepata mkopo bank wachina wakaanza kuzingua, sasa natafuta plan B ya kufanyia hizo hela 25 - 30m ili inipe marejesho ya bank about 3m every month.
Natanguliza shukrani wakuu.
Then that is even Better,Check me on PM.We might be able to work something out.Asante kwa ushauri, kwa ujumla mi ni self employed person - consultant. Natafuta side hustle
Naungana na wewe Aisee, bora hiyo riba yao aingie hasara kuilipa kwani lengo kuu la kukopa huo mkopo limeyeyuka, akifanya kitu kingine ni dhahiri anaweza kukutana na matokeo asiyo ya tarajia.Kama kusudio la kuomba mkopo halipo tena bora utafute namna ya kurudisha tu hizo pesa uongezee na riba yao mambo yasiwe mengi
Bora nusu shari kuliko shari kamili