Wahuni wanasema ubeti,usijaribu nduguSijakuelewa mkuu, ni nini hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni wanasema ubeti,usijaribu nduguSijakuelewa mkuu, ni nini hii?
Ningesema jambo, Ila kwa kuwa nimemaliza tofauti yangu na cute wife basi acha nikae kimya[emoji120]Tudondolee mkuu imekaaje?
Watu wanataka wakutane nae cheembaaa wana mengi ya kuzungumza nae 😄🤣🤣🤣 HAO WANAKUITA PM SIJUI DM SIJUI INBOX... Utarudi baada ya siku kadhaa kulaumu watu wa JF...
Una pesa nzuri ambayo hata mimi nikikujua unapatikana wapi ni rahisi kukutapeli kiulaini bila kiwembe kisu panga wala bunduki.... TAKE CARE young man
Watu wanataka wakutane nae cheembaaa wana mengi ya kuzungumza nae [emoji1]
Hilo siwezi kujaribu nduguWahuni wanasema ubeti,usijaribu ndugu
Mi mjanja siwezi liwa kirahisi. Pesa inapatikana kwa shida sana.Watu kibao wameomba wakutane naye chobingo kumkula mapesa yake[emoji2957][emoji42][emoji39]
Ushauri mzuriBiashara ya kukupa laki kwa siku kama faida ni ngumu kwa mtaji huo; nachoweza kukushauri; pombe zinanyweka sana, kama uko na urafiki na mtu mwenye pub, club au bar yenye mauzo mengi kwa siku, kaeni mjadili jambo.
Huwa naitamani sana hii, sijawahi tu kuipatia fungu.Kama unaidea ya magari njoo tulenge mkuu, utanishukuru baadae.
Kama upo Dar es salaam.
Au sio hahahaHahahaha awa wa wazee wa forex wao hawanaga mitaji ila wanakwmbia pesa uhakika.
Wazo zuri ila uwe na moyo aiseeeAnzisha microfinance uwe unatoa mikopo umiza
Hii Mzee ipoje fafanua unaweza kupata wadau tuliopo darKama unaidea ya magari njoo tulenge mkuu, utanishukuru baadae.
Kama upo Dar es salaam.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanataka wakutane nae cheembaaa wana mengi ya kuzungumza nae [emoji1]
Mimi nafanya biashara hiyo kwa miaka mingi sana na hata hapa ninapoandika kwasasa nipo lindi mjini nimefuatilia viroba kwenye saa 5 nageuka naeleKea shambani hawezi kudouble mtaji kwasasa labda angefika mwanzo pale tulipokinunua 1500 kiloChangamoto zake ni kuibiwa na watu wasio waaminifu. Maana wewe kama nigeni inabidi uwape vijana pesa ili wakanunue ufuta huko porini Kwa wakulima. Sasa Kuna watu unawapa pesa wanaenda kuweka heshima bar huku wakinigamba.
Kwa ufupi hii biashara inalipa kama utapata mzigo Kwa wakati na kuupeleka ghalani
Mbona samia ni ke na anaitwa mkuu?Iko vizuri ukiuza mzigo wa million 30 hukosi faida ya 4 million ukikosa bas 3 million hapo ushatoa kila kitu kuanzia gari, ushuru na pesa za kuhonga njiani.
Soya nzuri na iliyo nafuu ipo Zambia
Ukifika border unakatisha shilling kwa Kwacha na faida inakuwa nzuri ukikuta rate ya kwacha ipo chini
Kuhusu wateja wapo wa kutosha sababu utauzia border.
Alafu mimi ke usiniite mkuu [emoji1787]
Kwa upande fulani uko sahihi kwa mtaji wake huo atapata hata milion 10 faidaKusini Sasa hivi wameanza kuvuna ufuta nnenda uwe unanunua ufuta Kwa njia inaitwa chomachima unapeleka garani. Baada ya msimu kuisha utakuwa umezalisha almost kama hiyo na zaidi. Nicheki nikupe connection maana ukienda kichwa kichwa unapigwa pesa na kurogwa juu
Kuinunua bei gani?Kama uko serious njoo mbaral mbeya ununue combine harvester upige hela na msimu ndo huu huu changangamka fasta
Kama uko serious njoo mbaral mbeya ununue combine harvester upige hela na msimu ndo huu huu changangamka fasta