Mtaji milioni 25 - 30

Mtaji milioni 25 - 30

🤣🤣🤣 HAO WANAKUITA PM SIJUI DM SIJUI INBOX... Utarudi baada ya siku kadhaa kulaumu watu wa JF...
Una pesa nzuri ambayo hata mimi nikikujua unapatikana wapi ni rahisi kukutapeli kiulaini bila kiwembe kisu panga wala bunduki.... TAKE CARE young man
Watu wanataka wakutane nae cheembaaa wana mengi ya kuzungumza nae 😄
 
Nimewaza tu 👇

IMG_20230605_025222.jpg
 
Changamoto zake ni kuibiwa na watu wasio waaminifu. Maana wewe kama nigeni inabidi uwape vijana pesa ili wakanunue ufuta huko porini Kwa wakulima. Sasa Kuna watu unawapa pesa wanaenda kuweka heshima bar huku wakinigamba.

Kwa ufupi hii biashara inalipa kama utapata mzigo Kwa wakati na kuupeleka ghalani
Mimi nafanya biashara hiyo kwa miaka mingi sana na hata hapa ninapoandika kwasasa nipo lindi mjini nimefuatilia viroba kwenye saa 5 nageuka naeleKea shambani hawezi kudouble mtaji kwasasa labda angefika mwanzo pale tulipokinunua 1500 kilo
 
Iko vizuri ukiuza mzigo wa million 30 hukosi faida ya 4 million ukikosa bas 3 million hapo ushatoa kila kitu kuanzia gari, ushuru na pesa za kuhonga njiani.

Soya nzuri na iliyo nafuu ipo Zambia
Ukifika border unakatisha shilling kwa Kwacha na faida inakuwa nzuri ukikuta rate ya kwacha ipo chini

Kuhusu wateja wapo wa kutosha sababu utauzia border.

Alafu mimi ke usiniite mkuu [emoji1787]
Mbona samia ni ke na anaitwa mkuu?
 
Kusini Sasa hivi wameanza kuvuna ufuta nnenda uwe unanunua ufuta Kwa njia inaitwa chomachima unapeleka garani. Baada ya msimu kuisha utakuwa umezalisha almost kama hiyo na zaidi. Nicheki nikupe connection maana ukienda kichwa kichwa unapigwa pesa na kurogwa juu
Kwa upande fulani uko sahihi kwa mtaji wake huo atapata hata milion 10 faida
 
Back
Top Bottom