Mtaji milioni 25 - 30

Wazo la kukemea umasikini na kuwa tajiri ndani ya miezi sita.
  • Tafuta chimbo la kununua ng'ombe kwa bei nafuu i.e mnadani n.k
  • Ongea na watu wa machinjioni
  • Wapelekee ng'ombe watano watano kila siku kwa ajili ya kuchinjwa i.e nikiamini uweze kutengeneza angalau laki 8 kwa siku n.k
  • Uza kwa bei ya jumla kwa wale wenye mabucha watakao kuja hapo machinjioni​
  • Saa nne asubuhi nyama inakuwa imeisha​
  • Baada ya hapo jipongeze kwa kukaa kwenye viti virefu pamoja na totoz​
  • Jitahidi kila siku kunilipa elfu 50, kwa kukupa hili wazo; utoapo zaidi ndipo mafanikio yanaongezeka zaidi.​
 
kama UNA MASIKIO NA UNISIKILIZE..RUDISHA HIO HELA CHUKUA COLLATERAL YAKO..ONGEZEA HIO RIBA HAPO YA MIEZI AU MWAKA sijui ulivyofanyiwa hesabu riba ni kwa mwezi au mwaka..kubali hio hasara....nipo paleee hautoboi... kwa mawazo ya hapa jf....plann ya biashara ya mwanzo ilikuwa njema maana ulisha angalia risk and profit...na hizi biashara za kuanzisha kwa mkopo ngumu kutoboa.Labda uwe umeshaianza kwa good source of capital umeshajua unazalisha vip na kwa gharama gani na unauza vipp kwa profit gani..yaani upo field kabisa..sasa unaenda kukopa pale ambapo suppy yako iko chini kuliko demand kuboost uzalishaji au supply....ni hayo tu ...
 
Unajua risk za hii biashara? Siyo rahisi kiivyo, unachinja mnyama unaambiwa hafai kuliwa ukachimbie
 
Unajua risk za hii biashara? Siyo rahisi kiivyo, unachinja mnyama unaambiwa hafai kuliwa ukachimbie
Unachinjia machinjioni, na si mtaani. Biashara yoyote ina risk na ili iende vizuri ni lazima uwashirikishe wale wa machinjioni, pia ukitaka kula lazima nawe ukubali kuliwa.
Ukiwa bahili katika biashara yoyote, lazima uone mambo yote kuwa magumu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…