Biashara gani mkuu kwa huo mtaji na wengine tupate madiniKaka toa 1000$ tu ni kam 2.4mil uje tutrade hutojutia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara gani mkuu kwa huo mtaji na wengine tupate madiniKaka toa 1000$ tu ni kam 2.4mil uje tutrade hutojutia..
Potential loss ni kiasi gani?
Actual return 2.4 × 18 = 43.23,000,000×18=54,000,000
Inaitwa 'working for the bank'3,000,000×18=54,000,000
Amekopa 25M anarudisha 54M [emoji16][emoji16][emoji16] tena kwa miezi 18. Sithubutu huo mchezo.Inaitwa 'working for the bank'
Ukiona watu wa bank wanavaa tai na kupendeza, ujue wewe ndio unaowafanyia kazi na si wao kukufanyia kazi wewe.Amekopa 25M anarudisha 54M [emoji16][emoji16][emoji16] tena kwa miezi 18. Sithubutu huo mchezo.
Noma sana mkuuUkiona watu wa bank wanavaa tai na kupendeza, ujue wewe ndio unaowafanyia kazi na si wao kukufanyia kazi wewe.
kama UNA MASIKIO NA UNISIKILIZE..RUDISHA HIO HELA CHUKUA COLLATERAL YAKO..ONGEZEA HIO RIBA HAPO YA MIEZI AU MWAKA sijui ulivyofanyiwa hesabu riba ni kwa mwezi au mwaka..kubali hio hasara....nipo paleee hautoboi... kwa mawazo ya hapa jf....plann ya biashara ya mwanzo ilikuwa njema maana ulisha angalia risk and profit...na hizi biashara za kuanzisha kwa mkopo ngumu kutoboa.Labda uwe umeshaianza kwa good source of capital umeshajua unazalisha vip na kwa gharama gani na unauza vipp kwa profit gani..yaani upo field kabisa..sasa unaenda kukopa pale ambapo suppy yako iko chini kuliko demand kuboost uzalishaji au supply....ni hayo tu ...Wakuu za jumapili, naomba msaada kwenye tuta. Kuna biashara nilipanga kuifanya ya kuchimba one of industrial minerals. Nilitegemea kupata order kiwanda cha mchina Tanga, baada ya kuwa nimepata mkopo bank wachina wakaanza kuzingua, sasa natafuta plan B ya kufanyia hizo hela 25 - 30m ili inipe marejesho ya bank about 3m every month.
Natanguliza shukrani wakuu.
Potential loss ni 30,000,000 TZS only, the higher the risk the higher the reward😁Potential loss ni kiasi gani?
MikekaSijakuelewa mkuu, ni nini hii?
Miezi 18 x 3m mbona ni 54m? Bank Gani wanalamba riba kubwa ivi? Hii bank ijulikane Ili tupige kelele itafilisi raia!!! Yaani ungefanya miaka mitatu si ingefika 100m+ rejesho???18 month
Unajua risk za hii biashara? Siyo rahisi kiivyo, unachinja mnyama unaambiwa hafai kuliwa ukachimbieWazo la kukemea umasikini na kuwa tajiri ndani ya miezi sita.
- Tafuta chimbo la kununua ng'ombe kwa bei nafuu i.e mnadani n.k
- Ongea na watu wa machinjioni
- Wapelekee ng'ombe watano watano kila siku kwa ajili ya kuchinjwa i.e nikiamini uweze kutengeneza angalau laki 8 kwa siku n.k
Uza kwa bei ya jumla kwa wale wenye mabucha watakao kuja hapo machinjioni Saa nne asubuhi nyama inakuwa imeisha Baada ya hapo jipongeze kwa kukaa kwenye viti virefu pamoja na totoz Jitahidi kila siku kunilipa elfu 50, kwa kukupa hili wazo; utoapo zaidi ndipo mafanikio yanaongezeka zaidi.
HahahaaaMikeka
Unachinjia machinjioni, na si mtaani. Biashara yoyote ina risk na ili iende vizuri ni lazima uwashirikishe wale wa machinjioni, pia ukitaka kula lazima nawe ukubali kuliwa.Unajua risk za hii biashara? Siyo rahisi kiivyo, unachinja mnyama unaambiwa hafai kuliwa ukachimbie
Biashara ipi unafanya?Ninafanya hii biashara iko vizuri sana, me hua nanunua Malawi na kuuza boda ya kasumulu.