Mtaji milioni 25 - 30

Mtaji milioni 25 - 30

Bora urudishe bank hiyo pesa..hiyo dhamana ulioweka itauzwa tu
 
KAKA MIMI NIPO HEDARU WAILAYA YA SAME MKOA WA KILIMANJARO,NAWEZA NIKAKUSHAURI JAPO,NENDA PANGANI TANGA SEHEMU MOJA INAITWA KIPUMBWI,THEN NUNUA BOTI 4,NYAVU 4,NA MOTA 4,HAPO KILA KIMOJA UTAKODISHA KWA ELFU 15,000 KWA USIKU MMOJA ASUBUHI UNAKUNJA PESA,KILA SIKU UTAINGIZA SHILINGI LAKI MOJA NA THEMANINI(SH.180,000) UKIPIGA MAHESABU KWA MWEZI NI MILIONI TANO NA LAKI NNE (5,400,000) UKITOA M3 ZA MAREJESHO UNABAKIWA NA M2.4,FANYA M1.4 GARAMA YA UENDESHAJI MAISHA NA SERVICE NDOGONDOGO ZA BOTI NA KURIPEA NYAVU,APO M1 INABAKI KAMA FAIDA,KUMBUKA KUA BOTI ZINAFANYA KAZI USIKU KWAIO MCHANA KUNAKUA NA DILI PIA ZA KUVUSHA VITU VYA (MASOKONI/MADUKANI) KUPELEKA ZANZIBAR,UNAWEZA UKANICHEKI KAMA UKIHITAJI 0627379924
0767914387
 
Nyavu, Boti na Mota bei zake zikoje?
 
Then baada ya miezi 18 unaanza kula faida ,5millions per month.
 
Nakushukuru sana japo nina uzoefu kidogo na shughuli ya uvuvi, nina mitumbwi na engine za boti 4 kwenye ziwa Victoria lkn naona ni kama kichefuchefu. Lakini kwa kuwa umeleta wazo la kukodisha si kuvua ngoja nilitafakari. Shukrani sana.
 
dah yaani 35M miez 18.. mbona kama mkopo wa kausha dam huu... mi nilichukua 21M na nina miaka 3 ya kurudisha mkopo.. nlichukua NBC..labda sababu nilichukua kupitia mwamvuli wa ajira .. na nilikuwa na grace period ya 1month
 
Mkuu kama hutojali tuweke wazi hapa ni kwa nini hii biashara ya uvuvi umeiona ni kichefuchefu hii itatusaidia na wengine kupata uzoefu ili tusiingie kichwakichwa.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi nimeshangaa aina ya mkopo aliouchukua wamemwekea mtego mzito sana,hata kwa mwenye biashara tayari kurudisha 3m kila mwezi sio rahisi

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu za jumapili, naomba msaada kwenye tuta. Kuna biashara nilipanga kuifanya ya kuchimba one of industrial minerals. Nilitegemea kupata order kiwanda cha mchina Tanga, baada ya kuwa nimepata mkopo bank wachina wakaanza kuzingua, sasa natafuta plan B ya kufanyia hizo hela 25 - 30m ili inipe marejesho ya bank about 3m every month.
Natanguliza shukrani wakuu.
We lipia tangazo. Sawa tumeshajua Una milioni 30.
 
Nakushukuru sana japo nina uzoefu kidogo na shughuli ya uvuvi, nina mitumbwi na engine za boti 4 kwenye ziwa Victoria lkn naona ni kama kichefuchefu. Lakini kwa kuwa umeleta wazo la kukodisha si kuvua ngoja nilitafakari. Shukrani sana.
Uvuvi wa kibongo mpaka utoe kafara, use mavi ya mtu ndio upate samaki
 
Mkuu kama hutojali tuweke wazi hapa ni kwa nini hii biashara ya uvuvi umeiona ni kichefuchefu hii itatusaidia na wengine kupata uzoefu ili tusiingie kichwakichwa.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Uvuvi hasa katika ziwa Victoria ni kichefuchefu kwa kuwa ziwa kwanza halitabiriki. Wavuvi wanaweza kwenda limetulia wakifika huko upepo unageuka unapuliza mbaya inabidi warudi, wakati huo ushaweka mafuta kwenye engine na chakula cha wavuvi. Kingine ambacho watu hawakijui ni kwamba ndani ya ziwa watu wanakufa sana lakini huwa hayatangazwi. Ndani ya ziwa Victoria takwimu zinanyesha kariba watu 5,000 wanakufa kila mwaka.

Kingine pia samaki ndani ya ziwa wamepungua sana, nadhani overfishing imechangia. Wengine wameacha hii kazi na baadhi ya viwanda vimefungwa.
 
Mkuu,Naelewa hali uliyo nayo.Kwanza kupata Loan ya 35 Milion ina maana una cashflow nzuri na pia una dhamana nzuri.Kwa vigezo hivyo wewe unaweza kufanya Biashara lakini PIA ninahisi utakuwa kwenye Ajira which means kufikiria aina nyingine ya Biashara tena inayoweza Generate kama uliyoiweza iko Very Trick.Ilaa naamini mawazo yapo Mengi.

Mimi nitakuja PM nikupe contacts zangu then Tuangalie namna ambavyo tunaweza kushauriana.Ila kwa kuangalia haraka haraka naona inabidi uangalie Fursa ya Biashara ambayo tayari inajiendesha ambayo unaweza ingia na kuanza kutengeneza Revenue Mapema.Biashara utayowekeza Wekeza Not More than 20M
PM ya nini sasa kwanini usiseme hapa hapa, Amna watu wanaboa kama njoo Pm
 
Nakushukuru sana japo nina uzoefu kidogo na shughuli ya uvuvi, nina mitumbwi na engine za boti 4 kwenye ziwa Victoria lkn naona ni kama kichefuchefu. Lakini kwa kuwa umeleta wazo la kukodisha si kuvua ngoja nilitafakari. Shukrani sana.
Vipi,ulifanikiwa na kwa njia ipi ulitumia hadi ukafanikiwa
 
Wakuu za jumapili, naomba msaada kwenye tuta. Kuna biashara nilipanga kuifanya ya kuchimba one of industrial minerals. Nilitegemea kupata order kiwanda cha mchina Tanga, baada ya kuwa nimepata mkopo bank wachina wakaanza kuzingua, sasa natafuta plan B ya kufanyia hizo hela 25 - 30m ili inipe marejesho ya bank about 3m every month.
Natanguliza shukrani wakuu.
Wote wameongelea kukopesha kweli nakubaliana nao kwa yote ila kuna staili ya kukopesha siwezi kuitaja humu mana siku hizi ujuzi ni hadhina na huutoi bure bure tu kama hutojali nicheki hapo whatsapp +905428522770 sipo nchini natagemea kurudi mwezi ujao
 
Wakuu za jumapili, naomba msaada kwenye tuta. Kuna biashara nilipanga kuifanya ya kuchimba one of industrial minerals. Nilitegemea kupata order kiwanda cha mchina Tanga, baada ya kuwa nimepata mkopo bank wachina wakaanza kuzingua, sasa natafuta plan B ya kufanyia hizo hela 25 - 30m ili inipe marejesho ya bank about 3m every month.
Natanguliza shukrani wakuu.
Fungua carwash then kama una nia ya kufanya uwekezaji mkoani karibu tuwekeze kwenye security systems
 
Wakuu za jumapili, naomba msaada kwenye tuta. Kuna biashara nilipanga kuifanya ya kuchimba one of industrial minerals. Nilitegemea kupata order kiwanda cha mchina Tanga, baada ya kuwa nimepata mkopo bank wachina wakaanza kuzingua, sasa natafuta plan B ya kufanyia hizo hela 25 - 30m ili inipe marejesho ya bank about 3m every month.
Natanguliza shukrani wakuu.
Utt hamis ukiwekeza utapata sh ngapi per month!!?

Kaulizie wakati unawaza na kuwazua kipi Cha kufanya!
 
Back
Top Bottom