STREET SMART
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 837
- 672
Wekeza kwenye biashara ndogondogo.Ukipenda ni PM tuyajenge.Asee wadau wangu wa jamii forums bila shaka mko salama. Za SIKUKUU pia Ni njema kwa jina la mola.
Wanajamvi ninaomba ushauri wenu Nina shilingi milioni 1,700000 mahali flani hivi. Nimekwa nawaza biashara ya kufanya hapa jijini..Lkini mambo magumu. Nipate faida nisijelia mtu mzima.
KatikA ushauri wenu ..Cha kukumbuka tu Mimi sina nyumba dar ila naishi dar.
KAMA HUNA CHA KUCHANGIA SI LAZIMA UANDIKE.
Mola atusaidie.
Ni kweli anaweza pata mashamba mkuranga , ruvu , Kisarawe n.kKodi shamba lenye chanzo cha maji karibu,, lima mazao ya biashara kama nyanya, au mbogamboga au nipigie 0745478823 nikupe mwongozo...
Namim Niko tayari Nina michaichai yakutosha niunge naoKuna kampuni moja ya Kenya nitakunganisha nayo Kama upo tayari
Asee wadau wangu wa jamii forums bila shaka mko salama. Za SIKUKUU pia Ni njema kwa jina la mola.
Wanajamvi ninaomba ushauri wenu Nina shilingi milioni 1,700000 mahali flani hivi. Nimekwa nawaza biashara ya kufanya hapa jijini..Lkini mambo magumu. Nipate faida nisijelia mtu mzima.
KatikA ushauri wenu ..Cha kukumbuka tu Mimi sina nyumba dar ila naishi dar.
KAMA HUNA CHA KUCHANGIA SI LAZIMA UANDIKE.
Mola atusaidie.
Hii ya boda boda nakubaliana nayo,anaendesha mwenyeweMzee baba nenda kalime, utunishe mfuko af ndo urud dar kuwekeza , zaid ya hapo ni heri ununue boda upige, uwekezaji dar unahtaj mtaji kwa sa hv
ningekua mimi ndio wewe ningetafuta ujuzi wa bidhaa yoyote inayopendwa na wanawake then naitengeneza kiumaridadi sana halaf nauza kwa bei cheap kuliko wengine....kwa kuanza nakushauri jifunze kushona wigi,au kutengeneza sandal zile zinazomwaga chin zinauzwa buku 9 had 7 wewe uuze kwa buk 5-6 haki ya mungu utapiga pesa wewe had utatamani ukaishi mweziniAsee wadau wangu wa jamii forums bila shaka mko salama. Za SIKUKUU pia Ni njema kwa jina la mola.
Wanajamvi ninaomba ushauri wenu Nina shilingi milioni 1,700000 mahali flani hivi. Nimekwa nawaza biashara ya kufanya hapa jijini..Lkini mambo magumu. Nipate faida nisijelia mtu mzima.
KatikA ushauri wenu ..Cha kukumbuka tu Mimi sina nyumba dar ila naishi dar.
KAMA HUNA CHA KUCHANGIA SI LAZIMA UANDIKE.
Mola atusaidie.
Mkuu ungetupa uzoefu wako wa biashara ya nyama kwa sasa MTU aliye Dar :Fungua butcher
Jamaa ni hakimu asee! 😀 😀 😀Una ujuzi wowote? Kama ndio fungua ofisi ya ujuzi ulio nao
Hapo afungue grocery wateja watakuja kumuona hapoJamaa ni hakimu asee! 😀 😀 😀
Mkuu ungetupa uzoefu wako wa biashara ya nyama kwa sasa MTU aliye Dar :
- mikoa ya kununua ng'ombe na gharama zao zikoje
-usafiri mpaka kufika Dar unakuaje
-mauzo kwa sasa yakoje kwa MTU anaechinja mwenyewe na kuuza butcher zake
Natanguliza shukrani
Mkuu nipe connection nahitaji kujua hii kitu. ThanksNgoja nikuunge na jamaa mmoja ni mtaalam wa kutengeneza hyo mifuko aliandaa semina ya kufundisha watu.
Nakupa namba yake pmMkuu nipe connection nahitaji kujua hii kitu. Thanks