STREET SMART
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 837
- 672
Usipokuwa makini hiyo 1.7m itaishia kuwalipa wataalam wa kufundisha biashara huku wao wakiwa hawajawahi hata kufungua biashara ya genge . Kuwa makini sana na msemo “ ngoja nikuunganishe na jamaa yangu flani “