Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

Sitaki hata kuisikia
Changamoto yako kubwa ilikuwa ni ipi?

Mimi binafsi changamoto yangu kubwa kwa sasa ni wahudumu ninao 28 ila wengi wao ni wadangaji hawamalizi miezi miwili wameondoka nimejitahidi kuwajengea Guest House kwa ajili ya mambo yao lakini wapi.

Kuna nyakati huwa nabakiwa hadi nawahudumu nane hadi sita kichwa huwa kinanipasuka sana.
 
Usome uzi wote, utapata jibu
 
Huu uzi huwa naurudia kila muda mambo yanapoenda kombo kudadadeki
 
pombe ni biashara iliyolaaniwa.tafuta mtu yeyote aliyefanikiwa kwa kufanya biashara ya baa.wengi wana biashara zingine zinazowapa sapoti .tafuta aliyefanya baa yenyewe afu angalia mwisho wake ulikuaje afu njoo ns majibu hapa
Jesca kitambaa cheupe
 
Changamoto yako kubwa ilikuwa ni ipi?

Mimi binafsi changamoto yangu kubwa kwa sasa ni wahudumu ninao 28 ila wengi wao ni wadangaji hawamalizi miezi miwili wameondoka nimejitahidi kuwajengea Guest House kwa ajili ya mambo yao lakini wapi.

Kuna nyakati huwa nabakiwa hadi nawahudumu nane hadi sita kichwa huwa kinanipasuka sana.
kama wanaondoka wenyewe me sijaona tatizo hapo waongeze wengine kupitia waliobaki wateja watafurahi kukuta wahudumu wapya!
 
Back
Top Bottom