Changamoto yako kubwa ilikuwa ni ipi?Sitaki hata kuisikia
Usome uzi wote, utapata jibuChangamoto yako kubwa ilikuwa ni ipi?
Mimi binafsi changamoto yangu kubwa kwa sasa ni wahudumu ninao 28 ila wengi wao ni wadangaji hawamalizi miezi miwili wameondoka nimejitahidi kuwajengea Guest House kwa ajili ya mambo yao lakini wapi.
Kuna nyakati huwa nabakiwa hadi nawahudumu nane hadi sita kichwa huwa kinanipasuka sana.
Jesca kitambaa cheupepombe ni biashara iliyolaaniwa.tafuta mtu yeyote aliyefanikiwa kwa kufanya biashara ya baa.wengi wana biashara zingine zinazowapa sapoti .tafuta aliyefanya baa yenyewe afu angalia mwisho wake ulikuaje afu njoo ns majibu hapa
AiseeHuu uzi huwa naurudia kila muda mambo yanapoenda kombo kudadadeki
ChaiHiyo ni biashara ya shetani. Achana nayo ama kamwe hautabarikiwa na ufalme wa milele hautauona. Utakua pamoja na shetani katika moto wa Jahannam. U will burn in Hell! U will burn in hell!
ChaiMmiliki
Na wewe nenda ukawaibie wa kwao.Halafu walevi wanakuhamaπ€£π€£π€£ baada ya muda wakishapiga piga wahudumu. Janga la kuibiwa wahudumu pia limekuwa changamoto kubwa...ukileta wapya wenzio wanakuja kukuibia wanawahamishia kwao.
πππππππππWarembo wenye chura wapo ama unakaa mwenyewe na sharubu zako?
kama wanaondoka wenyewe me sijaona tatizo hapo waongeze wengine kupitia waliobaki wateja watafurahi kukuta wahudumu wapya!Changamoto yako kubwa ilikuwa ni ipi?