Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

Halafu nimekuja gundua hakuna kitu kibaya kama kumzoesha mhudumu ofa kila uendapo bar flani. Kuna kipindi ukiwa na hela ya bia mbili tu mfukoni unaona ukienda utampa nini na wewe unywe pia. Unaamua kupitia kwa mangi mchezo unaisha
 
Kiongozi umelonga ukweli mtupu,nilikuwa naenda bar Fulani,Sasa siku moja nikaamua mwenyewe nikape offer ya soda,kumbe ndo nilikuwa najiroga mwenyewe,siku nyingine nimeenda kenyewe kakaniomba soda nikamwambia kunywa,nikaenda siku nyingine Tena kakasema nikanunulie zege,nikakapa buku kakaenda kununua,hapo nikagundua kanataka kunizoea vby,nikarudi Tena siku nyingine eti afadhali umekuja eti njaa inaniuma hapa BALAA,nikamwambi twende nyumbani tukapike.
 
Kabisa mkuu,mimi ndani ya huu mwaka nimehama kabisa sehemu mbili kwa sababu hiyo. Hapo mwenye biashara anakimbiwa na watu kisa njaa za wahudumu.
 
Strategy nzuri sana mkuu. Ila kwa sasa naona kama ntafail. Biashara hii inaboostiwa na hela za pembeni ambazo kwa sasa sina so naona ntafeli tu.

Kuhusu kujilipa kwa crate mtu hatakubali, labda umwambie kuwa hio ni kama bonus akiuza analamba buku kwa kila crate litaloisha.
 
Kabisa mkuu,mimi ndani ya huu mwaka nimehama kabisa sehemu mbili kwa sababu hiyo. Hapo mwenye biashara anakimbiwa na watu kisa njaa za wahudumu.
Na Mimi Nina Kama wiki mbili sijang'aa kwake,maana Mara ya mwisho ndo kalinikera kweli, yaani nimekapa buku 3 kaniletee Serengeti lager 2 kanyewe kakaingizia upupu wake wa chipsi,nikamwambia Basi sawa Basi nigei bia moja maana nimeshakosea kukupa hela kabla ya huduma,Tena kanaanza hela haitoshi,nataka nikanunue chipsi mayai,nikakaambia we nipe bia,Kama Ni deni nitakulipaga,tangia hapo sijang'aa Tena,na Kama nitang'aa malipo yake Ni baada ya gambe na Ni hela isiyojitaji chenji maana sipendi kugombana na mtu kiboyaboya tu,na Kama Ni soda na na zege lake Sasa atazikilizia kwenye bomba tu.Maana hata kulika hakaliki,hakanipi kbs vibe.
 
bar tunachofuata ni wanawake wala sio bia,bia tunazugia tu so ukitaka utoboe tafuta watoto wazurii weupe wa kichaga uweke hapo utaona tunavyomiminika hapo kwenye kibaa chako
 
bar tunachofuata ni wanawake wala sio bia,bia tunazugia tu so ukitaka utoboe tafuta watoto wazurii weupe wa kichaga uweke hapo utaona tunavyomiminika hapo kwenye kibaa chako
😆😆😆😆😆
 
Upo moshi sehemu gani... naweza kukupa hints

Sent From Galaxy S9
 
Nilikuwa na bar Kimara ila ss nimeifunga nataka kubadiisha biashara ,mwenye huitaji anaweza nichek nimkodishe ipo location nzuri sana ,ushuani.
 
Kabisa mkuu,mimi ndani ya huu mwaka nimehama kabisa sehemu mbili kwa sababu hiyo. Hapo mwenye biashara anakimbiwa na watu kisa njaa za wahudumu.
Kuna bar nyingine ukihudumiwa ukawa umependa huduma zao ukataka kutoa tips wanakuonyesha kibox kama kile cha posta kiko ukutani unaenda unadumbukiza pale pesa then usiku wakiwa wanamaliza kazi wanakifungua na funguo zao then wanagawana pasu wahudumu wote wa shift hio,niliona Kenya hii mambo.
 
Afu chalaa angu tatizo we hugongi mtungi,ungekua member wa hizo mambo ungeungishwa na members na vikao vya ulevi vingekua vinafanyikia hapo ofisini kwako.
 
Ndio maana wengine tunanyweaga pale pale kaunta kupunguza shobo za wahudumu uchwara.
 
Hiyo iko poa kwa kuwa siyo kila siku mtu una kuwa na hela ya kumnunulia muhudumu. Kuna siku mishe zinakuwa tight ila unakuwa na angalau pesa ya bia mbili au tatu kutoa wenge la siku, unakuta muhudumu anakutolea macho kama paka wa bar baada ya kuagiza kiti moto yako.
 
Kweli mkuu na wahudumu hawajui siku mtu ukiwa mfukoni mambo ni magumu unaenda bar na hesabu zako kichwani kama ni bia 2 na k-vant yako ndogo ni hizo tu,sasa anapopunguza hata buku tayari hesabu zimevurugika hapo.
 
Afu chalaa angu tatizo we hugongi mtungi,ungekua member wa hizo mambo ungeungishwa na members na vikao vya ulevi vingekua vinafanyikia hapo ofisini kwako.
Nagusaga chalyangu sema kitozi sana 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…