Hahah hapo mzuka arifu.Nagusaga chalyangu sema kitozi sana [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787]bar tunachofuata ni wanawake wala sio bia,bia tunazugia tu so ukitaka utoboe tafuta watoto wazurii weupe wa kichaga uweke hapo utaona tunavyomiminika hapo kwenye kibaa chako
Natafuta kwa mtuVp kuhusi friji
Duh! Asante sana mkuu vipi unaweza kunipa data zaidi hasa kuhusiana na Faida na changamotoUnatosha kwa kuanza
Kreti TBL yan Safari+Kilimanjaro,castol lite. jumla 28,000×3=84,000
Serengeti lite1=33,000
Heinken katon2 yenye bia12 bei ya jumla@elf2= 24,000/=
Achana na windok kwa mwanzo haina watumiaji wengi. Au ukiamua chukua katon moja ya 12,000/=
Konyag kubwa moja ya kuuza kwa shoti jumla inauzwa 9000/=
Konyag ndgo 5 za 2500/= bei ya jumla=12,500
Value ndogo 5=12500.
Maji caton 2 jumla=5000
Kreti moja la soda bei ya jumla kampuni ya coka mixer coka na soda water ziwe nyng kdgo=10000
JUMLA 202,000/=
Katika iyo ela nyingine nunulia vitendea kazi.glass,viti, n.k
N:B niliwahi kufanya pub kipindi cha 2018-2019 kwa hvyo kweny data zangu huenda kukawa na upungufu pahala nadhan ni kidgo Sana hauzidi 1000, due to bidhaa bei kubadilika kdgo
Safari/Kilimanjaro/castol lager bia 1 1800 kwenye kreti Kuna bia 20= 36,000/Duh! Asante sana mkuu vipi unaweza kunipa data zaidi hasa kuhusiana na Faida na changamoto
Asante sana mkuuChangamoto kubwa ni police wakati wa usiku ikivuka saa6 inabidi wakikubamba uwe na elf5 ya kuwatoa. Alafu epuka na kitu kukopesha usiwadhamini walevi ata siku moja ukimkopesha unamfukuza hatorudi..ukimuweka mdada mwambie ni kosa la kumfukuzisha kazi endapo ikifahamika anamahusiano na mteja
Ninja biashara yako inaendaje aisee?Aisee hii biashara ni pasua kichwa haswaa, mie pia imekuwa ikinisumbua sana kiasi kwamba nataka nishee headaches na mtu mwengine walau, nishakuwa mpishi na Barmaid pia🤣🤣🤣
Sio punde ntageukia kwenye nafaka huko.
Uko hai Noelia?Hao ndo wanafanya biashara ya bar iishi au ife, ni taabu tupu wakiondoka unajikuta wewe owner ndo barmaid na kwa mazoea ya bar nyingi wanatafuta cheap labour hivyo wahudumu hawana uelewa wowote na kazi yao,, unamleta leo baada ya wiki anahamia bar jirani......uuuuuuhhhh siwazi kurudi kwenye hii biashara
Niliifunga mkuu it was useless.Ninja biashara yako inaendaje aisee?
Kwangu hali ni shwari kabisa ila ulimpata mtu mwenye management skills za bar na hali imeendaje?
Daaaamn mimi inanilipa sana aisee.Niliifunga mkuu it was useless.
Niko hai ndugu vipi tena mbona swali tata?Uko hai Noelia?
Hii biashara ulishaiacha kabisa?Niko hai ndugu vipi tena mbona swali tata?
Sitaki hata kuisikiaHii biashara ulishaiacha kabisa?