Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Yooo watu wangu wa nguvu, especially wale wa CBE na vyuo vingine, na hata mtaani – kama unajiona uko ready ku-push maisha yako next level, then this message is for YOU!
Niko tayari kukupiga shule ya ukweli – somo la biashara, mindset, online hustle na street smart ideas – zote zikiwa zimetulia kama vile zimetoka kwa OG wa entrepreneurship.
Na hapa siongelei zile hadithi za classroom za “andika paragraph ya biashara” – NO! Hapa tunapiga real talk, real knowledge, na real action plan!
Nani nawafundisha?
Kama una biashara yako lakini imekwama – uko stuck, unahitaji kurefresh na ku-push mbele.
Kama wewe ni mstudent wa chuo, especially CBE – na unauliza, “nitaishije baada ya chuo?”
Na kwa mtaa wangu, vijana wanaotaka kupiga shoo halali bila kubebwa, wako kwenye radar yangu!
Somo litakuwaje?
Tutakuwa kwenye WhatsApp, mafunzo yatakuwa raha, real, na raw – utaweza kujifunza ukiwa home, hata ukiwa na supu mkononi au unakausha mitaa. Hii kitu ni portable kama earphones zako!
Topics zitakazochambuliwa (gangster style):
Online Marketing – How to bag money while chilling on your couch.
Affiliate Game – Earn without owning a damn thing!
Digital Hustle – Create eBooks, courses, na skills zako ukalipe nazo bills!
Social Media Monetization – Turn your IG na TikTok kuwa ATM machine.
Street Smart Branding – Ujue ku-make noise mtaa mzima bila kupiga kelele.
Real Life Receipts (mafano ya biashara nilizowahi kufanikisha):
Streetwear Brand – Nilianza na 150K, leo na-sell mpaka Nairobi, na klienzi wanasema “this drip be fireee!”
Online Store Hustle – Nilijua tu mbinu, sikucheza sana – sasa watu wanaorder hata nikiwa napiga story kwenye ghetto bench.
Mentorship Mafia – Watu watatu ambao nilishawafundisha, leo wana their own legit small empires. Facts!
Na kitabu changu kinakuja hivi karibuni, kinaitwa:
“From Ghetto Hustle to Digital Empire”
– hiki ni kama Bible ya kila mtaani hustler mwenye ndoto ya kuwa boss. You better cop it when it drops!
Remember:
“Ukikaa bila plan, utaishi kulalamika. But ukiamua, utapiga mkwanja bila stress.”
Weka Comment yako kama uko READY, au nitumie inbox kwa maelezo na kujiunga.
Mafunzo ni cheap kama ndizi tano za buku, lakini thamani yake ni kama umelipiwa seminar na Bill Gates!
Usiwe soft – stay hungry, stay woke, stay G!
Wale wa mtaa, wale wa chuo, wale wa online... hii ni fursa ya mabadiliko.