Inasikitisha kuona mtu ambaye alienda developed countries anarudi tz na pesa za kutosha akiwa hajui nini cha kufanya ilhali kwa wengi wanategemea kumuona ni msomi na ataleta mabadiliko,
ninachokushauri,usimwambie kitu cha kufanya ila mpe challenge,kuwa anataka kuifanyia nini nchi yake maana kama maisha anayakimbia huko a huku maisha sio mteremko,mwambie siku hizi watu hawadondoshi hata sh mia,shilingi kumi ama ishirini ukimpa mtoto anaikataa.
Tz kuna opportunity nyingi sana anachotakiwa ni kuja na kuamua,tunayo madini,anaweza akaja na idea mpya mfano nawachallenge wanafunzi wa chuo kikuu 'hv mnaposikia madini yameibuka mf kahama,etc ambapo unakuta mvua ikinyesha madini yanaibuka,also watu wa huko migodini most of them wana imani kuwa madini kuyapata ni mpaka mashetani ama majini yafurahi,je kuna mtu yeyote hata anayesoma geology aliyeenda kuwaelimisha kuwa madini ni miamba?kwenye research kuna mtu anatake trouble kwenda maeneo hayo amasehemu yenye changamoto kufanya research? Lakini ukweli ni mdogo atakayeweza kufanya research maeneo hayo hakika hatakimbilia kuajiliwa GGM ama kahama mining,
tuchukue hatua,tuna ardhi ya kulima kubwa sana,tuna mbuga za wanyama ambapo anaweza kuwa tour operator etc,kuna opportunity ya real estate coz most of the land haijapimwa,je kuna aliyetake trouble kuwa ananunua land na kuipima then kiggawa vipande..very few are doing it,its very sad
ninachokushauri wewe muelezee matatizo yaliyopo,mwambie 1.kuna tatizo la udini,2.watu wanagombea kuchinja,hatuna mashine za kisasa za kuchinja hata serikali imekosa ela dola 15000 kuleta hizo mashine ila ila pesa za posho za wabunge.
3.kuna uhaba wa mabodyguard maana watu wanaotetea haki za wananchi wanapigwa refer ulimboka etc
4.shule azina madawati
5.shule hazina walimu wa kutosha
6.wanafunzi wanafeli sana
7.ajira ngumu
8.tunaimport hadi pini,hata kalamu ya kuandikia hata chaki tunatoa china
9.network voda inasumbua
10.wizi wa kwenye atm machine
etc
nakuomba umuelezee matatizo tu yaliyopo na akijaribu kutatua mojawapo that is the business she will make more money with little capital.
I remain
Chimbuvu