Mtaji wa 30m

Mtaji wa 30m

Inasikitisha kuona mtu ambaye alienda developed countries anarudi tz na pesa za kutosha akiwa hajui nini cha kufanya ilhali kwa wengi wanategemea kumuona ni msomi na ataleta mabadiliko,
ninachokushauri,usimwambie kitu cha kufanya ila mpe challenge,kuwa anataka kuifanyia nini nchi yake maana kama maisha anayakimbia huko a huku maisha sio mteremko,mwambie siku hizi watu hawadondoshi hata sh mia,shilingi kumi ama ishirini ukimpa mtoto anaikataa.
Tz kuna opportunity nyingi sana anachotakiwa ni kuja na kuamua,tunayo madini,anaweza akaja na idea mpya mfano nawachallenge wanafunzi wa chuo kikuu 'hv mnaposikia madini yameibuka mf kahama,etc ambapo unakuta mvua ikinyesha madini yanaibuka,also watu wa huko migodini most of them wana imani kuwa madini kuyapata ni mpaka mashetani ama majini yafurahi,je kuna mtu yeyote hata anayesoma geology aliyeenda kuwaelimisha kuwa madini ni miamba?kwenye research kuna mtu anatake trouble kwenda maeneo hayo amasehemu yenye changamoto kufanya research? Lakini ukweli ni mdogo atakayeweza kufanya research maeneo hayo hakika hatakimbilia kuajiliwa GGM ama kahama mining,
tuchukue hatua,tuna ardhi ya kulima kubwa sana,tuna mbuga za wanyama ambapo anaweza kuwa tour operator etc,kuna opportunity ya real estate coz most of the land haijapimwa,je kuna aliyetake trouble kuwa ananunua land na kuipima then kiggawa vipande..very few are doing it,its very sad
ninachokushauri wewe muelezee matatizo yaliyopo,mwambie 1.kuna tatizo la udini,2.watu wanagombea kuchinja,hatuna mashine za kisasa za kuchinja hata serikali imekosa ela dola 15000 kuleta hizo mashine ila ila pesa za posho za wabunge.
3.kuna uhaba wa mabodyguard maana watu wanaotetea haki za wananchi wanapigwa refer ulimboka etc
4.shule azina madawati
5.shule hazina walimu wa kutosha
6.wanafunzi wanafeli sana
7.ajira ngumu
8.tunaimport hadi pini,hata kalamu ya kuandikia hata chaki tunatoa china
9.network voda inasumbua
10.wizi wa kwenye atm machine
etc
nakuomba umuelezee matatizo tu yaliyopo na akijaribu kutatua mojawapo that is the business she will make more money with little capital.
I remain Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
mil 30 ni ela nyingi sana kama akili yake itatulia, huko nje anatoka nchi gani nimwambie cha kuleta kitakoachompa pesa
 
Thread za Aina hii now day sitaki kabisa kuchangia chochote, Ila imenibidi tu, kufanya hivyo,

Watanzania ni Kama tumelogwa vile, Juzi nilikuwa na jamaa fulni Wakenya hapa Arusha huwa wanapiti sana humu janvini hasa hasa kwenye jukwaa la biashara, Jamaa wanashangaa sana kuona vitu kama hivi na wanakili Watanzania hatuko siriasi na ni vigumu kuwa siriasi,

Kama kweli mtu yuko commited na Ujasirimali huwezi msikia anauliza maswali ya aina hii, masali ya aina huu huulizwa na watu ambao hawako siriasi n wavivu,

Na kama kutafuta wazo la biashara unashindwa hata biashar utashindwa pia, hivi vitu huenda pmoja asikudanganye mtu, Uvivu wa kuumiza kichwa chako kutafuta wazo ndo huo huo utakao kuwepo kwenye biashra pindi utakapo anza,

Humu Janvini kuna aidea a kufa mtu na hat jaaa wa nchi jirani huingia humu na kutoka na mawazo ya kufa mtu, ila sis ndo kama hivyo,

Safari yoyote ya wewe kufanikiwa huanza kwenye wazo la biashara, na ili watu wakuone kweli wewe ni kichwa ni kwenye wazo lako la biashara,

Tumia hata mwezi kusoma thread zote za jukwaa labiashara huwezi toka kapa, ila mtu anaona uvivu kusma thread zote hizi na si lazima wazo litoke humu ila unawez unganisa dot na kupata cha kufanya,

Mfano: Ukasoma ukaona watu wanahamasika na ufugaji wa Kuu kwa wingi na eneo fulani, wewe unawza amua kuja na wazo la kuwtengenezea chakula cha kuku, problems watu kuumiza akili hatutaki

Na jamaa wanasangaa kwamba mawazo na biashra za wbongo zinafanana sana na ni kwa sababu mtu kuumiza kichwa hataki yeye ni kukopi tu, Rafiki yake kafungua M-PESA, basi naye piga ua galagaza lazima afungue M-pesa, jirani yake anafuga kuku nayeni lazima afanye juu chii afuge, yaani ni full kukurupuka,

So hili jukwaa lina elimu ya kutosha kabisa ya kupata mwanga wa biashara na haihitaji mtu aje kuuliza afanye nini na sijui milioni 5
 
kwa million 30 ukinipa mie ningeziingiza kwenye mradi wangu wa ufugaji wa kuku...
 
Mapikipiki sio biashara usiifanye ngo hela zako zote zitayayuka,USHAURI,NUNUA NYUMBA VINGUNGUTI MILIONI 20,MILION 10 IMENTAIN FUNGUA GEST,NDIO OFISI TENA KULA LAKI KILA SIKU UNENEPE,BAADA YA MIAKI 2 AKIIHITAJI MTU MPIGE KWA HELA NDEFU,NITAFUTE UONE wa wiki itamuingizia si chini ya sh. elfu 35 (35 X 4X 12) ambayo ni sawa na 1.68 mil kwa mwezi. Kwa kadirio la chini ni kipato cha 1.3 mil ya uhakika.

Mwambie ajitahidi kumaintain matumizi yake binafsi within sh. lako tano kwa mwezi.
Hapo ataweza kusave sh. laki nane kwa mwezi.

Kwa mwaka ni sawa na 9.6 mil nest egg.

Katika hii nest egg achukue mil. tano afungue duka dogo la spare za pikipiki ambazo amezifanyia utafiti kwa mwaka mzima.

Mil. 4 aweke kwenye akaunti inayojitegemea na laki 6 atoe sadaka.

Mwaka unaofuata afanye tena hivyohivyo.

Duka la spare aliongezee tena mil. 5 liwe na mtaji wa mil. 10. na 4 mil aongezee kwenye nest egg iwe 8 mil na laki sita atoe sadaka.

Mwaka wa tatu aanze kuuza pikipiki zilizoanza kuchoka na kuzireplace na mpya. Afanye
 
Kilimo. Kinalipa japo kinahitaji uvumilibu,waweza kununua mshine ya kutengeneza matofali (interlocking blocks/bricks whatevr) ni biashara nzuri pia,kuwa car interior and exteriordetailing services al maarufu car wash,biashara ya tax Ina fursa wengi wanaoifanya wanaifanya kwa mazoea,biashara ya leather products I.e kutengeneza Viatu,mikanda,mikoba ya ngozi kuna furs a pia,kwa sasa zichukue hizo uzifanyie utafiti for more advice tutazidi kushauiana hapa kwenye uzi all ze best,
 
ni mara yng ya kwanza kupitia hili jukwaa na kupost , ila leo nimepitia post kadhaa humu ndani na kusoma comments, inshort me nna mtaji wa milion 30 , ila cjajua niufanyie biashara gani naomba ushauri mwenzenu

Fungua minisupermarket.
 
Mwambie afungue mpesa na tigo pesa na luku kwan hvi ndo vitu vinavyo run maisha ya watu kila siku, kwn m2 awezi kuishi bila umeme kwa maeneo ya mjini, mwambie asikimbilie biashara kubwa, kwn bdo hana ujuzi nazo
 
Mwambie afungue mpesa na tigo pesa na luku kwn hvi ndo vitu vinavyo run maisha ya watu hapa mjini kwn m2 hawez kuish bila umeme lazima atanunua luku, asikimbilie biasha kubwa kwanza
 
wakenya ndio umewaona watu wa maana???
Thread za Aina hii now day sitaki kabisa kuchangia chochote, Ila imenibidi tu, kufanya hivyo,

Watanzania ni Kama tumelogwa vile, Juzi nilikuwa na jamaa fulni Wakenya hapa Arusha huwa wanapiti sana humu janvini hasa hasa kwenye jukwaa la biashara, Jamaa wanashangaa sana kuona vitu kama hivi na wanakili Watanzania hatuko siriasi na ni vigumu kuwa siriasi,

Kama kweli mtu yuko commited na Ujasirimali huwezi msikia anauliza maswali ya aina hii, masali ya aina huu huulizwa na watu ambao hawako siriasi n wavivu,

Na kama kutafuta wazo la biashara unashindwa hata biashar utashindwa pia, hivi vitu huenda pmoja asikudanganye mtu, Uvivu wa kuumiza kichwa chako kutafuta wazo ndo huo huo utakao kuwepo kwenye biashra pindi utakapo anza,

Humu Janvini kuna aidea a kufa mtu na hat jaaa wa nchi jirani huingia humu na kutoka na mawazo ya kufa mtu, ila sis ndo kama hivyo,

Safari yoyote ya wewe kufanikiwa huanza kwenye wazo la biashara, na ili watu wakuone kweli wewe ni kichwa ni kwenye wazo lako la biashara,

Tumia hata mwezi kusoma thread zote za jukwaa labiashara huwezi toka kapa, ila mtu anaona uvivu kusma thread zote hizi na si lazima wazo litoke humu ila unawez unganisa dot na kupata cha kufanya,

Mfano: Ukasoma ukaona watu wanahamasika na ufugaji wa Kuu kwa wingi na eneo fulani, wewe unawza amua kuja na wazo la kuwtengenezea chakula cha kuku, problems watu kuumiza akili hatutaki

Na jamaa wanasangaa kwamba mawazo na biashra za wbongo zinafanana sana na ni kwa sababu mtu kuumiza kichwa hataki yeye ni kukopi tu, Rafiki yake kafungua M-PESA, basi naye piga ua galagaza lazima afungue M-pesa, jirani yake anafuga kuku nayeni lazima afanye juu chii afuge, yaani ni full kukurupuka,

So hili jukwaa lina elimu ya kutosha kabisa ya kupata mwanga wa biashara na haihitaji mtu aje kuuliza afanye nini na sijui milioni 5
 
Mtafute pharmacist, kaa chini nae mwambie mpango wako wa kufungua pharmacy kubwa. Sio kiduka cha madawa. Bali pharmacy ya kueleweka ,nna imani atakupa mwongozo. Bongeee la biashara
 
Kuna vibasi ma dcm jino moja ama vikosta hata fuso pia unanunua kwa mtu ata m25 kama vikosta ivo vinavyo pga ruti per day laki moja unapga hela
30 nying sana watu mpaka leo hi wana anza na mitaji ya elfu50 bada ya miaka milw wana biashara yakueleweka,
Sema nin biashara unatakiwa mtu ulenge na mzunguko tofaut na hapo ni mbwa kameza mbwaa
Hela yako nying sana nunua gari lakupga kazi kila siku zipo mpaka isuz forwad utapata kwa bei yako ingia nazo chaka beba mkaa ajabu uko pesa hutokosa mzee,
Zaid apo nyapu na bia ziweke kando pesa utazipata kama unanawa vile,
 
ni mara yng ya kwanza kupitia hili jukwaa na kupost , ila leo nimepitia post kadhaa humu ndani na kusoma comments, inshort me nna mtaji wa milion 30 , ila cjajua niufanyie biashara gani naomba ushauri mwenzenu

Lete mrejesho
 
Enterprise Finance limited, mikopo ya haraka na masharti nafuu. Kwa masliano zaidi piga namba 0768 928 516
 
Back
Top Bottom