Sefet
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 476
- 191
Kajirushe 30m ndogo sana
Ukiskiaga ushauri wa nguvu za giza......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajirushe 30m ndogo sana
ni mara yng ya kwanza kupitia hili jukwaa na kupost , ila leo nimepitia post kadhaa humu ndani na kusoma comments, inshort me nna mtaji wa milion 30 , ila cjajua niufanyie biashara gani naomba ushauri mwenzenu
Thread za Aina hii now day sitaki kabisa kuchangia chochote, Ila imenibidi tu, kufanya hivyo,
Watanzania ni Kama tumelogwa vile, Juzi nilikuwa na jamaa fulni Wakenya hapa Arusha huwa wanapiti sana humu janvini hasa hasa kwenye jukwaa la biashara, Jamaa wanashangaa sana kuona vitu kama hivi na wanakili Watanzania hatuko siriasi na ni vigumu kuwa siriasi,
Kama kweli mtu yuko commited na Ujasirimali huwezi msikia anauliza maswali ya aina hii, masali ya aina huu huulizwa na watu ambao hawako siriasi n wavivu,
Na kama kutafuta wazo la biashara unashindwa hata biashar utashindwa pia, hivi vitu huenda pmoja asikudanganye mtu, Uvivu wa kuumiza kichwa chako kutafuta wazo ndo huo huo utakao kuwepo kwenye biashra pindi utakapo anza,
Humu Janvini kuna aidea a kufa mtu na hat jaaa wa nchi jirani huingia humu na kutoka na mawazo ya kufa mtu, ila sis ndo kama hivyo,
Safari yoyote ya wewe kufanikiwa huanza kwenye wazo la biashara, na ili watu wakuone kweli wewe ni kichwa ni kwenye wazo lako la biashara,
Tumia hata mwezi kusoma thread zote za jukwaa labiashara huwezi toka kapa, ila mtu anaona uvivu kusma thread zote hizi na si lazima wazo litoke humu ila unawez unganisa dot na kupata cha kufanya,
Mfano: Ukasoma ukaona watu wanahamasika na ufugaji wa Kuu kwa wingi na eneo fulani, wewe unawza amua kuja na wazo la kuwtengenezea chakula cha kuku, problems watu kuumiza akili hatutaki
Na jamaa wanasangaa kwamba mawazo na biashra za wbongo zinafanana sana na ni kwa sababu mtu kuumiza kichwa hataki yeye ni kukopi tu, Rafiki yake kafungua M-PESA, basi naye piga ua galagaza lazima afungue M-pesa, jirani yake anafuga kuku nayeni lazima afanye juu chii afuge, yaani ni full kukurupuka,
So hili jukwaa lina elimu ya kutosha kabisa ya kupata mwanga wa biashara na haihitaji mtu aje kuuliza afanye nini na sijui milioni 5
wakenya ndio umewaona watu wa maana???
Kajirushe 30m ndogo sana
ni mara yng ya kwanza kupitia hili jukwaa na kupost , ila leo nimepitia post kadhaa humu ndani na kusoma comments, inshort me nna mtaji wa milion 30 , ila cjajua niufanyie biashara gani naomba ushauri mwenzenu