malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
25kgMfuko wa sukari una kilo ngapi?
Sasa mkuu UTT kwa mwaka unapewa 11% Sasa kwa m100 ni sawa na 11m unapewa. Sasa mkuu hakuna biashara ya kuzunguusha hiyo m100 ikazaa zaid ya 11m nnayopewa na UTT.Nashauri chukua hiyo pesa kaweke UTT , utaoata faida kiliko hicho unafanya
Tafuta tenda za miradi ya Serikali mikoani utapiga helaSasa mkuu utt kwa mwaka unapewa 11% Sasa kwa m100 nisawa na 11m unapewa Sasa mkuu hakuna biashara yakuzunguusha hiyo m100 ikazaa zaid ya 11m nnayopewa na utt
Asipokuwa na watu wa maana huko Serikalini, hiyo hela ataizika chap.Tafuta tenda za miradi ya serikali mikoani utapiga hela
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ila ni vyema ukaweka "angalizo" kuwa fedha yake haipatikani kwa wakati, na kama ana mtaji wa "mawazo" asijaribu kabisa.Tafuta tenda za miradi ya serikali mikoani utapiga hela
Temesa na halmashauri ndio wasumbufu kulipa ila taasisi nyingine kama tanroad na ruwasa wanalipa fastaAsipo kuwa na watu wa maana huko serikalini, hiyo hela ata izika chap.
Hao majamaa kwenye kulipa ni kipengele na mizungusho mingi.
Mara mfate fulani, sijui fulani
Maana yake afilisikeTafuta tenda za miradi ya serikali mikoani utapiga hela
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hiyo biashara wanafanya watu wenye mitaji mikubwa mno. Unakuta ana gar 3 au 4..au ni kwamba hiyo gari umeitega mahala sio..mwisho wa siku gari itachoka na faida hujapata...nenda kaitege sehemu yenye uhitaji kweli kweli yaan gari ipige kaz kwa wik ukunje hata 1m.Habari wakuu mnaionaje hizi baishara ni zakuendelea kufanya kweli tandam ya gari ya sukari inabeba mifuko 600 ya sukar unaiuza kwa miezi2 nafaida yake ni 540000 wakati huo gharama zamanunuzi 46m faida kwa Kila mfuko jumla jumla ni tsh 900.
Wakati huo huo mtaji wa gari ya ngano 45m hapo gari ya ton32 sawa namifuko 1280 kwa Kila mfuko ukiuza jumla faida ni tsh 450 sawa jumla ya 576000 kwa mifuko yote ambayo unaiuza kwa miezi 2.
Je, wakuu hii biashara inanichanganya sana mtaji mkuwa faida kidgo tupeane fursa za hela ili tubadilishe biashara tupate faida anagalau inayoendana na mtaji
Kwahiyo mkuu tufanye biashara ganiBiashara small scale isiyoniachia 10% net profit baada ya makato yote ya serikali, kodi, matumizi na kila kitu hiyo siifanyi!
Ingekuwa mtu amewekeza bilioni 1 na biashara ni very stable inampa 2% faida kwa mwezi hapo angalau. Wewe hufanyi biashara, unazurura ofisini.
Loh [emoji23][emoji23] achana na hyo business mm kuna business nimeanza december mwaka jana faida average kwa mwezi ni almost 600k na nilianza na mtaji wa 3.5m hyo 600k nishatoa matumiz.Habari wakuu mnaionaje hizi baishara ni zakuendelea kufanya kweli tandam ya gari ya sukari inabeba mifuko 600 ya sukar unaiuza kwa miezi2 nafaida yake ni 540000 wakati huo gharama zamanunuzi 46m faida kwa Kila mfuko jumla jumla ni tsh 900.
Wakati huo huo mtaji wa gari ya ngano 45m hapo gari ya ton32 sawa namifuko 1280 kwa Kila mfuko ukiuza jumla faida ni tsh 450 sawa jumla ya 576000 kwa mifuko yote ambayo unaiuza kwa miezi 2.
Je, wakuu hii biashara inanichanganya sana mtaji mkuwa faida kidgo tupeane fursa za hela ili tubadilishe biashara tupate faida anagalau inayoendana na mtaji