Mtaji wa Biashara

Mtaji wa Biashara

thommyGustavo

Member
Joined
Mar 13, 2017
Posts
17
Reaction score
5
Hi Friends, wakubwa kwa wadogo..

Mimi ni kijana mpambanaji sema napata changamoto sana kwny life currently.

mimi nimegraduater certain university na niko home tu kwa sasa...
nna ujuz sana wa stationery works yani Mungu alinjaalia utundu tangu utoto wa computers, am a good typer, software and hardware repairer. nlivokua chuo nlikua najiingizia kipato through dili izo nkamalza nkafanya kazi stationery kidogo ila mambo yakawa ndivyo sivyo,,

sasa um home jobless, nkawa na wazo kama kuna mtu ana ofc and anahtaj someone wa kudeal na computer issues kwa office im very available..
pia kama kuna samaritan anaeweza kujitokeza tuonane aweze nikopa 2m nianzishe ofc yng binafs ya kudeal na hizi kazi please dont hesitate tutaonana tutaandikishana legally na nitakua narudisha kwa mwez coz i believe and know naweza pata kwa mwez lak mbili na kuendlea since nitadeal na university students and nshafanya and i knw it pays..

Mimi sio mchoyo wa fursa ila pia kama mtu anaweza fungua ofc yke nko tayari anipe hand nami nipige kama mwajiriwa..!

N.B. Naamin wote humu ni watu wazima na waelewa wa maisha and i dont expect mtu aonge ujinga please please only good advice and options are needed!!
 
Ndo hata kuandika unashindwa? Watoto wa shule za Msingi sijui wataandikaje kama wewe unaandika hivi
 
Ukiajiriwa, uaminifu utapimwaje na je kima cha chini unaweza anza na ngapi
 
Njia rahis ya kufanya,kama unaweza kujitolea bure kaz yako au unawaambia wamiliki wa stationary kua una ujuz huu na huu then nawez kufanya kaz hapa muwe mnanipa nauli tu ya kwenda na kurud?? Hap utapata pa kuanzia na mungu atakusimamia utafanikiwa
 
wapo watu na mapesa yao mkuu usikate tamaa utapata.hujasema upo mkoa gani
 
Ukiajiriwa, uaminifu utapimwaje na je kima cha chini unaweza anza na ngapi

uaminifu kwakwel kwa binafs me ni mwaminifu and nipo tayar provide all necessary information kunihusu pia kima cha chini sijaelewa ni mtaj au mshahara??
 
Njia rahis ya kufanya,kama unaweza kujitolea bure kaz yako au unawaambia wamiliki wa stationary kua una ujuz huu na huu then nawez kufanya kaz hapa muwe mnanipa nauli tu ya kwenda na kurud?? Hap utapata pa kuanzia na mungu atakusimamia utafanikiwa

hilo ni wazo zuri pia kaka, ila volunteering kwenye stationeries wanakua na waswas maybe kuibiwa na nlishafanya hvo mwny stationery akaona kama wivu kufanya vtu vng kwa mda mchache akaniita na kusema mdg wng atanisaidia so ww naomba upumzke
 
Back
Top Bottom