ukipewa laki moja utakubali kurudisha na riba? auNi kweli kabisa matapeli wanatembea humohumo kwenye migongo ya waaminifu
utakuwa tayari kuandikishana mkataba pamoja na wadhamini wa3+passport size+ copy ya ID ya Taifa + barua ya serikali za mitaa?Inawezekana na pia kiwango cha riba itategemea.
AsanteKama shida ni mtaji wa laki? Na upo dar’ nenda kiwanda cha sayona kipo mikocheni b nafikiri wanatoa vibarua kulipwa kwa siku/wiki au mwezi ni mapendekezo yako
Ndioutakuwa tayari kuandikishana mkataba pamoja na wadhamini wa3+passport size+ copy ya ID ya Taifa + barua ya serikali za mitaa?
Mkuu nakukumbusha tu mlengwa co kama anakopa milioni 10 ni laki moja tu!!! [emoji120]utakuwa tayari kuandikishana mkataba pamoja na wadhamini wa3+passport size+ copy ya ID ya Taifa + barua ya serikali za mitaa?
KILA MTU ANA MASHARTI YAKE MKUUMkuu nakukumbusha tu mlengwa co kama anakopa milioni 10 ni laki moja tu!!! [emoji120]
Hayo mashart aliokupa n [emoji91] [emoji91] [emoji91][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
KILA MTU ANA MASHARTI YAKE MKUU
Kwakua Nina shida ntatekeleza
Mkuu nakukumbusha tu mlengwa co kama anakopa milioni 10 ni laki moja tu!!! [emoji120]
Kabebe mizigo ubungo