Mtaji wa biashara.

Mtaji wa biashara.

Inapendeza... ila kuna watu watapigwa hapa...

Kueni makini na new members...



Cc: mahondaw
Hapa hakuna utapeli. Id mpya zinachangiwa na mambo mengi mkuu sio kwa ajili ya utapeli. Mfano katika pitapita zangu za kutafuta kazi nakutana na memba wa humu ananishauri kuingia humu walau kama ntapata msaada zaidi,je huo ni utapeli?
 
Kama shida ni mtaji wa laki? Na upo dar’ nenda kiwanda cha sayona kipo mikocheni b nafikiri wanatoa vibarua kulipwa kwa siku/wiki au mwezi ni mapendekezo yako
 
Inawezekana na pia kiwango cha riba itategemea.
utakuwa tayari kuandikishana mkataba pamoja na wadhamini wa3+passport size+ copy ya ID ya Taifa + barua ya serikali za mitaa?
 
Back
Top Bottom