Hapo mkeka unasoma 210,000 na kulipia kila mwezi ni 210,000 emu anza tena utajiri wa PDF ni mtamu sana1. Nunua WiFi 3 Kwa 70,000 funga sehemu za masoko.
Wifi 1 ina uweZo wa kuhudumia watu 20,
Sasa wewe tafuta angalau watu 10 tu wakupe 500 Kwa siku ambapo hapo utakuwa na uhakika wa kupata 15,000 Kwa siku Kwa WiFi zako 3 ukiwa umekaa bila kumwaga jasho
Hii ni kweli ila ni ngumu sio rahisi hivyo2. Biashara ya mkaa
Mtaji wa 200,000 una uhakika wa kupata gunia zaidi ya mbili
Watu wengi wa uswahilini hawana uweZo wa kutumia gasi au umeme
Mwalimu wako wa hesabu alipata hasara kubwa sana.Hapo mkeka unasoma 210,000 na kulipia kila mwezi ni 210,000 emu anza tena utajiri wa PDF ni mtamu sana
Hii biashara ni nzuri ila inahitaji Ubunifu na haiitaji mtu MCHOYO wanachokosea wengi wanaofanya hii biashara ni wana namna fulani ya UCHOYO, onjosha fanya km wale wanaouza karanga au ubuyu onjesha uji nusu kikombe wengine watanunua baada ya kuonja5. Biashara ya kuuza uji
Kama mwanamke hii inakufaa zaidi amka alfajiri au jioni uza zako uji mtaani tena kama kipindi hiki cha mfungo utapata pesa nyingi
Hapo inasoma 420,000 sio 210,000 ni doubleTafuta 200k iyo 10k nakuongezea
Uji kama mtu ananunua ananunua tu hamna haja ya kuonja.Hii biashara ni nzuri ila inahitaji Ubunifu na haiitaji mtu MCHOYO wanachokosea wengi wanaofanya hii biashara ni wana namna fulani ya UCHOYO, onjosha fanya km wale wanaouza karanga au ubuyu onjesha uji nusu kikombe wengine watanunua baada ya kuonja
Mtu anashindwa kufanya 10000 imletee 2000 usitegemee hata akipata mili 20 akafanya cha maana , ndio maana unakuta mtu anauliza hivi wauza mahindi wanaishiješ¤£Hiyo sahihi mtaalam
Mtu anasubiri mtaji sio kutoka wapi ili afungue kiwandaš
Reciprocity iyo mzeeUji kama mtu ananunua ananunua tu hamna haja ya kuonja.
Yaani uonje uji ndo ununue kikombe cha 500
Hapo changamoto ni paradigm, ndio maana unakuta mtu anauliza hivi wauza mahindi wanaishiješ¤£
Yeah Mtazamo huwa una athiri sana , ndio maana wanaofanikiwa kwenye biashara ni wale waliokuzwa kwenye mifumo ya kibiashara tangu wadogoHapo changamoto ni paradigm
kuna uzi nilikutag kuna mtu alikua anatafuta fundi ujenzi je uliuona?Ila we jamaa unajiita ngara23 nuksi Sana! Juzi tu hapa ulitoa gazeti reeefu ukiwakandia vijana wapambanaji na hapa nanukuu
[IMG alt="ngara23"]https://www-jamiiforums-com.cdn.ampproject.org/ii/AW/s/www.jamiiforums.com/data/avatars/m/565/565550.jpg?1749207170[/IMG]
ngara23
JF-Expert Member
Tuambizane ukweli ambao watu wengi huwa hatuambiani, Huwa tunafarijiana tu
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliwambia vijana huwezi kutoboa maisha Kwa kuuza uduvi, watu wakamwijia juu
Huo uvivu wa kukataa kumwaga jasho na kuumiza akili ndo hivo tunauwa vijana wanakosa ubunifu na kuishia kuwa masikini wa kutupwa
Kijana ukiwa na nguvu Fanya kazi au biashara Kwa bidii na tengeneza kesho yako
Kijana uliyekamilika usifanye biashara au shughuli zifuatazo
1. Kuuza genge
Kijana wa miaka 20/ 22/23, unajisifu kumiliki genge, yaani nguvu zako zote na akili unashinda unakata kabichi na kuuza kitunguu 100, lini utashika million 100, lini utaenda China au Dubai, lini utakaa baa ule mtungi wa laki 5
Kwanini usikimbie Kariakoo ukachukua mzigo wa nguo au cover A simu ukimbize chap upige faida ya maana
2 Kushona viatu
Kijana mwenye nguvu upo kibarazani unashona na kungarisha viatu.
Binafsi laZima ni kudharau nikikuta unafanya hii shughuli Dar es salaam
3. Kuchoma vitumbua
Kijana mwenye nguvu unaibuka na idea ya kuchoma vitumbua, utatoboa lini, fikiria biashara ya kukutoa mapema
4 Kuuza miguu ya kuku
Hii biashara inatakiwa wafanye wabibi, kijana mdogo unauzaje biashara ya mabibi kama hii
Amka acha uvivu Katie jasho upate pesa
5. Kuchemsha mayai
Kijana mjinga unatembea na trey ya mayai mtaani ati upo mjini unapambana, we ni jinga na pumbavu kwanini usije huku tukalime maharage na mahindi
6. Kuuza kahawa, tangawizi na kashata
Hapa kijana unajimaliza kifikira, jinga sana wewe Tanzania kubwa hivi, amani yote hii, unapata wazo la kutembeza kahawa kwenye birika.
Kwanini usifate kuku Morogoro,
7 kuchoma mahindi
8. Kuuza vipande vya matikiti kwenye deli
Yaani ununue Tikitiki ukate vipande kadhaa na eti ukawe tajiri
9 Kuuza supu ya utumbo na makongoro
10 kuuza dawa za mbu na sumu ya panya
Hizi ni baadhi ya biashara za kijinga ambazo kijana hupaswi kuzifanya