Mtaji wa laki 2 ( 200,000) Fanya biashara hizi

Kuna biashara nimeitaja tena kwenye huu uzi
 
Acha kuwapa watu matumaini hasa Kwa kijana anayejitafuta kimaisha.
 
Sio matumaini hewa ni halisi mkuu
Unaongelea dunia ya Zamani.
Hawa Tu wa mtaji wa laki mbili humu hamna mkuu.

Kwahiyo ushauri mwingine au mawazo mengine ni Bora ukiwa unapiga stori na madogo ndio uwape stori hizi au kule Facebook lakini sio hapa kaka.

Watu waliwekeza mitaji ya milion hamsini na Zaidi Leo umshauri mambo ya buku mbili
 
Unajidanganya wapo wengi
Me binafsi nimekutana ana Kwa ana na members kadhaa wa Jamii forums wenye uhitaji sana
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…